Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘bado Tz iko LDC

according to this ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Screenshot_20210121-001914_Facebook.jpg
 
Wakuu kuna Thread yangu huku nilianzisha mwaka 2011 ๐Ÿ˜Ž

Mkuu nmepata picha nyingi za kupigia watu, asante sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha. Wewe ni wazimu. Unajua delta ni nini? Delta inahusu river inapofika kwenye ocean inagawanyika mara kadhaa kabla ya kuingia kwenye ocean. Huwezi kutaja neno delta ikiwa hakuna river mahali hapo. Umewahi kusikia neno Nile river delta? Sasa nataka uniambie Mombasa island ni delta ya river gani?

View attachment 1682098
Hawa jamaa kumbe zero labisa katika mambo ya geography[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Yaani wakenya utakuta mpaka influencers wako huko Twittwer wanakaba kwa nguvu tweets za viongozi wa Marekani with quotes eti wanawananga [emoji28][emoji28][emoji28]

Attention seekers, mpaka wabunge wao wapo wanaosapot Republicans wengine Democrats [emoji28][emoji28][emoji28] yaani ni vihoja ukiona jinsi wanavyojitutumua na viingereza vyao wakifikiri wanasound relevant kwa wamarekani [emoji28][emoji28][emoji28]

Mwishowe badala hata hiyo tweet kuwa na interaction na wamarekani unakuta tweet nzima replies zote ni mungiki wanachambana tu miongoni mwao na wenyewe wapo Republicans and Democrats wa kariobangi na kariadudu basi ni tafrani one-way [emoji28][emoji28][emoji28][emoji706]
Kwa sababu wenyewe tunapenda kufuatilia mataifa ta nje sana especially mabeberu ndio watu km nyinyi muzidi kuteseka[emoji23][emoji23][emoji23]

We komaa na kijijini kwenu tuache sisi tuangalie uapisho wa biden..
Kwn mlilazimishwa kuangalia medias za kenya, manake naona umekuja kuandamana mkundu juu ni km umeskia naye mkeo kaenda marekani leo
 
Huwezi amini hata kuzijua sizijui kabisa, yn niache kuangalia tv za bongo au za mbele kina bbc, aljazeera, cnn etc niangalie ushuzi wa copy and paste.
Aliyeleta mada anazijua ndio manake kawaletea habari na nyie wanenguaji mzijue[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenyans spending time on their national television, watching Joe And Kamalaโ€™s inauguration is the funniest thing Iโ€™ve heard today. And what would the Americans do? Eti โ€œtunakuwa enlightened about the worldโ€ [emoji23][emoji23][emoji1787] Nchi yenu imejaa giza mnashindwa kuelewa inaendaje mnatazama American affairs. Itโ€™s fine if the news was brief, but the whole event? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] what in the hell?
Tena hyo ni tela next time tunapeleka team hko hko wakachukue live tumechoka ku stream na CNN...
Yani tunaongeza matawi kabisa europe na marekani ndio mzidi kuteseka kabisa[emoji23][emoji23]

Tena tunapenda sana km vile nyie mnavyopenda kuangalia reli tv na uzinduzi wa jiwe
 
Yaani wakenya utakuta mpaka influencers wako huko Twittwer wanakaba kwa nguvu tweets za viongozi wa Marekani with quotes eti wanawananga ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Attention seekers, mpaka wabunge wao wapo wanaosapot Republicans wengine Democrats ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… yaani ni vihoja ukiona jinsi wanavyojitutumua na viingereza vyao wakifikiri wanasound relevant kwa wamarekani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mwishowe badala hata hiyo tweet kuwa na interaction na wamarekani unakuta tweet nzima replies zote ni mungiki wanachambana tu miongoni mwao na wenyewe wapo Republicans and Democrats wa kariobangi na kariadudu basi ni tafrani one-way ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ
Kariobangi na Kariosigara.

So stupid these Mumbiz!
 
Mimi naongea kuhusu Mombasa island kuanzia mwanzo lakini wewe umeanza kuongea kuhusu Mombasa region. Inaonyesha jinsi wewe ni kigeugeu. Tunaongea kuhusu Mombasa island. Na wewe ulipinga kabisa kwamba hakuna island Mombasa. Hata ukaniwekea map ya umavi na kuniambia nikuonyeshe wapi island ilipo. Map uliyoweka hata haikuwa na Mombasa island. Unaenda kuokota takataka kwenye internet na kuzileta huku.
mnapenda kupoteza mda kwa vitu visivyo na maana kila kitu kipo wazi ,mombasa city itabaki kuwa city na hiko kisehemu kinachoitwa mombasa island kitabakia kuitwa mombasa island japo ipo connected na mombasa city inland......

reality mombasa city itabakia kuitwa hivyo hivyo tu hakuna kitakachobadilika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

tugonge chears mazee
20210121_011822.jpg
20210121_012302.jpg
 
Kuna nyingine nliskia eti Kaka mmoja alimuua ndugu yake kisa kammalizia kichwa cha samaki tulijikuta wote tumecheka Kenya huwa wanahabari za ajabu Sana๐Ÿ™‚
Hayo matukio ya ndugu wa tumbo moja kuuana kwa chakula no ya kila siku Kenya.

Njaa imetamalaki, hivyo Ugali ni kama dhahabu vile. Matukio ya kuuana kwa Ugali, Chapati ni mengi mno kila mwezi.

Njaa mbaya sana.
 
Tena hyo ni tela next time tunapeleka team hko hko wakachukue live tumechoka ku stream na CNN...
Yani tunaongeza matawi kabisa europe na marekani ndio mzidi kuteseka kabisa[emoji23][emoji23]

Tena tunapenda sana km vile nyie mnavyopenda kuangalia reli tv na uzinduzi wa jiwe
Youโ€™re not worth my attention
 
Jamaa wanashtukia kampuni za maziwa karne ndio manake kila anayetoke jina mwisho ni fresh tu wala hataki kujua
. We mbuzi acha kutukosea heshima wewe kichwa hamna .viwanda vya namna hiyo uku kwetu sio level yenu . Dsm iyo . Tena tukizungumza kuhusu mnatakiwa. mkae kimya mbuzi nyie. . Arusha . Asas iringa. chobo dsm
 
Back
Top Bottom