Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo kilaza anadhani Wakenya ni wajinga. Huwezi kutaja neno delta bila kutaja neno river. Lazima useme ni river gani inatengeneza hio delta. Hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island.
Sasa mbona unapiga kelele bado nakuja na somo.
Nimeanza na Delta bado sija kupatia somo la Types of Peninsula.
 
Pata picha Hii kitu ingejengwa Hapo kenya izo kelele zake
images%20(2).jpeg
 
Sasa mbona unapiga kelele bado nakuja na somo.
Nimeanza na Delta bado sija kupatia somo la Types of Peninsula.
Ulianza kusema kwamba Mombasa ni lagoon. Kisha huyo kilaza Naton Jr pia akasema kwamba Mombasa ni lagoon. Baadaye ukasema kwamba Mombasa ni delta. Sasa tena umebadilisha gear na kusema kwamba Mombasa ni peninsula. Wewe ni mtu wa kudanganya. Huna msimamo. Kama vile tu unasema kwamba umesomea software engineering lakini bado unataka kunifunza geography
 
Watanzania waliopotea kwenye uzi huu wote wanatazama tv stations za Kenya. Wanatazama uapishwaji wa Biden. Ndio maana hawapo hapa. Halafu wanajifanya kwamba hawana haja ya kutazama uapisho huo
 
Ulianza kusema kwamba Mombasa ni lagoon. Kisha huyo kilaza Naton Jr pia akasema kwamba Mombasa ni lagoon. Baadaye ukasema kwamba Mombasa ni delta. Sasa tena umebadilisha gear na kusema kwamba Mombasa ni peninsula. Wewe ni mtu wa kudanganya. Huna msimamo. Kama vile tu unasema kwamba umesomea software engineering lakini bado unataka kunifunza geography
Tafuta hiyo comment niliyosema kuwa hiyo ni lagoon. Screenshot. Mimi siyo kilaza kama wewe. Nikisema Mombasa siyo Island ninauhakika. Ninakupa muda tu uoneshe ujinga wako hapa. Nimesema ninakupatia somo la Geography leo.
 
Kuna mmoja alisema chato wadai uhuru wao kasahau laana iko huku inawatafuna

Daaah kweli mnapenda sifa za kijinga ukishafatilia inakuaje labda Kwa mfano?
wakenya wanakua more enlightened about the world around them ....nyinyi ishini kwa hako kavillage kenu. Alafu sijawai fahamu hua mnafatilia media za kenya hivi kama tunavofatilia kina cnn na bbc 😅😅
 
wakenya wanakua more enlightened about the world around them ....nyinyi ishini kwa hako kavillage kenu. Alafu sijawai fahamu hua mnafatilia media za kenya hivi kama tunavofatilia kina cnn na bbc 😅😅
Hapo umetuongopea kiukweli ukiuliza wabongo wengi hawanaga time na media za Kenya sababu khabari zenu ni ushuuuzi mtupu Ila nyie majirani mmejaa kwenye page za umbea za bongo mkifatilia habari za ma celebrities wa bongo ama nasema urongo?
 
Back
Top Bottom