Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brookside ilidai Arusha na Kilimanjaro haina maziwa ya kutosha ndo maana kiwanda cha Brookside Arusha kilifanywa collection center! JPM akawanyang'anya kiwanda! Saahii tina-export maziwa!
Mnaexport wapi? Hamuwezi kuruhusiwa kuexport Kenya maana nyinyi mlizuia maziwa yetu kuja kwenu. Itakuwa mwendo wa tit for tat.
 
Tunaposema world class infrastructure ndo hii sasa 🙂👍God bless my motherland Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Kwa roads najua unajua hatuwezi compare sisi we have such roads na si eti Nairobi tu hadi mikoa but nairobi ndo sana hadi hata the Express way inayo jengwa juu ya njia nyingine Luna seems itakua na hadi na Tatu kuelekea juu
 
Tunaposema world class infrastructure ndo hii sasa 🙂👍God bless my motherland Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Hii ni ya South Africa. Nyinyi hamuwezi kuwa na barabara kama hii. Wacha kuzingua.
 
Kunyata nyatA.
Screenshot_20210121-092034.jpg
 
Yaani wakenya utakuta mpaka influencers wako huko Twittwer wanakaba kwa nguvu tweets za viongozi wa Marekani with quotes eti wanawananga 😅😅😅

Attention seekers, mpaka wabunge wao wapo wanaosapot Republicans wengine Democrats 😅😅😅 yaani ni vihoja ukiona jinsi wanavyojitutumua na viingereza vyao wakifikiri wanasound relevant kwa wamarekani 😅😅😅

Mwishowe badala hata hiyo tweet kuwa na interaction na wamarekani unakuta tweet nzima replies zote ni mungiki wanachambana tu miongoni mwao na wenyewe wapo Republicans and Democrats wa kariobangi na kariadudu basi ni tafrani one-way 😅😅😅🚮
We are signing a deal of a free trade area with the US actually we the first african country to do that as wareva we agree on will he used as a bench mark to the rest so we must follow their politics because it is something that will directly impact us. Thought you should know
 
😂😂👏👏👏bado Tz iko LDC

Hawa watu bytheway sisi ndo tumewaharibu by kuwapa attention wako bado chini lakini wana piga kelele unaeza fikiri wanajua wanachokisema. Tunafaa tufunge hii thread turudi after 5years labda Madini yao itakua imeanza kuleta faida sasa tubishana as for now Hawaii league yetu
 
. We mbuzi acha kutukosea heshima wewe kichwa hamna .viwanda vya namna hiyo uku kwetu sio level yenu . Dsm iyo . Tena tukizungumza kuhusu mnatakiwa. mkae kimya mbuzi nyie. . Arusha . Asas iringa. chobo dsm

Packaging mbovu na bado bila haya unasema eti viwanda si level 😂😂😂😂 maskini muone
 
Hawa watu bytheway sisi ndo tumewaharibu by kuwapa attention wako bado chini lakini wana piga kelele unaeza fikiri wanajua wanachokisema. Tunafaa tufunge hii thread turudi after 5years labda Madini yao itakua imeanza kuleta faida sasa tubishana as for now Hawaii league yetu
Porojo mob, unaweza ondoka hakuna aliekuita hapa,kama unahisi Kenya mpo pazuri Endelea kujidanganya
 
Hawa watu bytheway sisi ndo tumewaharibu by kuwapa attention wako bado chini lakini wana piga kelele unaeza fikiri wanajua wanachokisema. Tunafaa tufunge hii thread turudi after 5years labda Madini yao itakua imeanza kuleta faida sasa tubishana as for now Hawaii league yetu
Chini kwa namna ipi hebu elezea ???🤣🤣
 
Hawa watu bytheway sisi ndo tumewaharibu by kuwapa attention wako bado chini lakini wana piga kelele unaeza fikiri wanajua wanachokisema. Tunafaa tufunge hii thread turudi after 5years labda Madini yao itakua imeanza kuleta faida sasa tubishana as for now Hawaii league yetu
Yani nyie mbuzi mnaonuka njaa mtupite sisi nchi ya asali na maziwa? Kanchi kenu hakana rasilimali zozote za maana na ndiyo maana ufisadi unaofanyika huko kwenu umegharimu maisha ya wakunya mpk kesho, lkn sisi kwetu tulifanyiwa ufisadi miaka ya nyuma na bado nchi ikawa inajiendesha vzr tu hakuna njaa wala wananchi kukosa huduma, hata mishahara ikawa inalipwa na serikali vzr tu, but nyie kwenu ufisadi umefanya mpk mnakosa chakula na mishahara, hahahahaaa that's a difference
 
Back
Top Bottom