Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmass
Lagoon landmass ndio nini wewe kilaza. Niko sure hujui unachosema.
 
Wewe jamaa unaandika maneno mengi mno.
Hakuna mtu amekueleza kuwa hiyo ni lagoon niwewe tu unajipendekeza.
Nimekuuliza nani Mwalimu wako wa Geography ambaye hajui hata Delta!?
Delta is for rivers when they separate we enda usome kitabu toka mtandaoni
 
Ndio maana nasema geography kwenu ni zero. Hivi unajua Delta!?
Nimejaribu kumuuliza jamaa yako maswali simple nikategemea kuwa atajibu kwamba ni Delta.
Hahaha. Wewe ni wazimu. Unajua delta ni nini? Delta inahusu river inapofika kwenye ocean inagawanyika mara kadhaa kabla ya kuingia kwenye ocean. Huwezi kutaja neno delta ikiwa hakuna river mahali hapo. Umewahi kusikia neno Nile river delta? Sasa nataka uniambie Mombasa island ni delta ya river gani?

Screenshot_20210120-190352.jpg
 
Hahaha. Wewe ni wazimu. Unajua delta ni nini? Delta inahusu river inapofika kwenye ocean inagawanyika mara kadhaa kabla ya kuingia kwenye ocean. Huwezi kutaja neno delta ikiwa hakuna river mahali hapo. Umewahi kusikia ne o Nile river delta? Sasa nataka uniambie Mombasa island ni delta ya river gani?

View attachment 1682098
Nataka uanze kujifunza sasa Geography. Kisha utasema hicho kipande cha udongo ni nini.
images - 2021-01-20T184953.043.jpeg
 
Kamala Harris, the first black vice president of USA ndio huyo amekuja kuapishwa
 
Vichwa vya wakenya haviko sawa. Yaani tuache kuangalia mambo yetu kwenye TV tuangalie rais wa nchi nyingine akiapishwa!? Are you serious!?
unafanya nini kwa media za kenya kama unataka kutazama mambo yenu?? usilazimishe tufanane, sisi tunataka kutazama kuapishwa kwa biden kama wewe hutaki hujalazimishwa kutazama
 
aisee Mombasa si kisiwa!
Muulize kama Mombasa ni delta iko kwenye river gani? Maana delta inasababishwa na river inapoingia kwenye ocean na ninavyojua mimi hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island. Soma definition ya delta hapa. Huyo jamaa anajiaibisha bure tu
Screenshot_20210120-190352.jpg
 
Muulize kama Mombasa ni delta iko kwenye river gani? Maana delta inasababishwa na river inapoingia kwenye ocean na ninavyojua mimi hakuna river inayopitia Mombasa island. Soma definition ya delta hapa. Huyo jamaa anajiaibisha bure tu
View attachment 1682105
Taratibu twende usidandie gari mbele ninaendelea na somo. Umeshindwa kumtaja Mwalimu wako wa geography basi tulia nikuoatie shule.
 
Taratibu twende usidandie gari mbele ninaendelea na somo. Umeshindwa kumtaja Mwalimu wako wa geography basi tulia nikuoatie shule.
Wewe ni nani unifunze geography??? Una qualifications gani? Umewacha kuwa software engineer umekuwa geography teacher?
 
Ninakupeleka taratibu tu. Nakufundisha Geography taratibu. Hiyo ni simple structure. Niendelee kukupatia shule ya Geography!?
images (3).jpeg

Nataka you look at that picture carefully in this case it is the sea that has extended into the land and surrounded a piece which is mombasa the water is not coming from a river from mainland and hope you know the diffrence between a sea and an ocean.
 
View attachment 1682107
Nataka you look at that picture carefully in this case it is the sea that has extended into the land and surrounded a piece which is mombasa the water is not coming from a river from mainland and hope you know the diffrence between a sea and an ocean.
Huyo kilaza anadhani Wakenya ni wajinga. Huwezi kutaja neno delta bila kutaja neno river. Lazima useme ni river gani inatengeneza hio delta. Hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island.
 
Back
Top Bottom