mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
Nyinyi media zenu ndo mbovu si habari kukosekanaKuna nyingine nliskia eti Kaka mmoja alimuua ndugu yake kisa kammalizia kichwa cha samaki tulijikuta wote tumecheka Kenya huwa wanahabari za ajabu Sana🙂