kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
That's means our TV's are international,si local Kama zenu😁tv zenu za kishamba sana.. nimejaribu kucheck tv za kenya na Tanzania, za Tanzania hata hazina ujinga wa kuonyesha hayo mambo ya USA.. nyie zenu ndo zinapnyesha .. yan badala zihabarishe au ziibue matatizo ktk jamaa yenu.. zinaonyesha vitu vya nje.. sidhan tv za usa zina mda wa kuonyesha inauguration events za marais wa kenya!!!



