Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua in the past mlikuwa na a bigger Gdp than ours. Ilikuwa Somewhere in the 1980s or 1990s. Sasa sijui mlikosea wapi njia hadi tukawapita

Leo wameumia sana hawa jamaa cz walikuwa wanajua km Tz cku ikiamka hakuna nchi itatukaribia hapa Afrika watake wasitake, mda c mrefu tutawaacha na battle yao na Rwanda, Ethiopia, na zingine size yao but cc tutaanza kupambana na kina SA, Nigeria(GDP)

Anayeogopa aendelee kuogopa ila mm ndo nasema hivyo mana ukiangalia hizo nyingine ukitoa SA na nchi za kiarabu ni uvundo tu na hazina rasilimali nyingi km Tz
Hata SA ni Barabara na viwanda tu wako mbele yetu. Hali ya kimaisha ni mbovu sana kama Kenya tu.
 
Screenshot_20210120-020353~2.png
kuhusu of za serikali Kenyans mkae mbali nasi Tony254 hilo ni jengo la MWAUSA .mwanza moja
Screenshot_20210120-020256~2.png
 
. Tony254 jana ulidai eti mwanza haina barabara za njia nne .msikilizeni mkuu was mkoa was mwanza huo huyo na vid inajieleza. Barabara ya kuanzia daraja furahisha furahisha kelekea airport na kwengineko ni 4 lanes bro
 
We jamaa Tony254 uliwa kusema eti mwanza hakuna 5,4 wala three star hotels,acha kujidanganya mdanganye ivyo bro The best 007 coz labda hajawahi mwanza . Mimi nipo chuoni mwana ST Augustine University mwaka wa tatu sasa naijua mwanza kinyumenuyume .Leo nakuletea five star and other four star hotels in mwanza .kaa tayari
 
Bro Tony254 naweza kukueleza kuwa Kuna vitu mombasa inaweza ishinda mwanza Kama vile bandari na Mombasa sgr terminus lakini kwenye Mambo mengine zinafanana tu,pia vipo vitu ambavyo mwanza ipo mbele ya Mombasa Kama vile bus terminal tena hapa zipo mbili under construction;nyegezi na hiyo iliyo karibia kumalizika ya nyamagana,lakini pia majengo mazuri Mimi naweza kusema mwanza ipo mbele ,kuna majengo mapya mengi sana yamekamilishwa,siku nikipata nafasi nitapiga picha then nitatupia humu muone .lakini pia kwenye hotels haipitwi kiivyo na mombasani Ila kwenye beach Mwanza ni kitu kingine kabisa sio tu ikishindana na Mombasa hata dsm inaweza ikakaa mbele ya mwanza
 
Back
Top Bottom