Kwa sababu Mungu amewabariki na rasilimali nyinyi ndio mlikuwa mnastahili kuongoza East Africa kiuchumi. Hata ni aibu sana kwenu kwamba nchi ambayo 75% ni jangwa kama Kenya inawapiga kiuchumi. Kenya hata haina minerals zozote za maana. Hata gold industry yetu ni ndogo sana kushinda yenu. Sisi tunachimba dhahabu kidogo sana kwa sababu Mungu hakutubariki na dhahabu kibao kama nyinyi. Sisi tuna kampuni za mining mbili kubwa pekee na mining industry yetu inagenerate revenue kidogo sana. Kampuni moja inachimba titanium ores na nyingine inachimba soda ash. Yaani ndio maana huwa tunawaita Malazy maana kulingana na rasilimali mliobarikiwa nayo nyinyi ndio mnastahili kuwa na Gdp kubwa. Wacha tuone kama haya makampuni yatabadilisha mambo. Lakini muwe na aibu kidogo kwamba nchi nusu size yenu, jangwa karibu yote, madini hakuna, population ndogo kushinda yenu bado inawachapa kwenye Gdp. Hio sio lazyness? Fanyeni kazi mje mtupite maana hamfai kuwa nyuma yetu ikiwa mna madini zote na mna amani. Kuweni serious hakuna kitu cha kusherehekea hapa, bali mnastahili kuwa na huzuni kwamba mumekuwa mkilala kwa miongo mingi sana. Nyinyi mnastahili kuwa mnakimbizana na SA lakini sasa mnafanya catch up na Kenya, nchi ambayo haina madini isipokuwa rasilimali ya watu. Serikali ya Kenya inategemea ubongo na nguvukazi ya watu wake ili kujipatia ushuru. Kwa sababu hatuna madini, tuna watu na hawa watu ndio wanaofanya kazi na kulipa ushuru na kujenga uchumi. Hawa watu ndio wanaoanzisha makampuni yanayojenga uchumi. Kwa sababu Kenya inategemea watu wake kama rasilimali ya nchi inabidi serikali itilie maanani masomo ili watu hao wawe na uwezo wa kuchangia vilivyo kiuchumi. Wakenya wengi Wameenda ulaya kufanya kazi na kutuma nyumbani pesa. Hii yote ni bidii ya mchwa ambayo lazima Wakenya wafanye maana hatuna madini na serikali yetu sio ya ujamaa, haitupatii vitu vya bwerere kama huko kwenu. Hapa kila mtu lazima afanye kazi maana serikali haitakupatia kitu chochote bure isipokua masomo. Jambo hilo linalazimisha kila Mkenya kufanya kazi kwa bidii. Huko kwenu shamba ni ya bwerere, afya ni ya bwerere, maji ni ya bwerere, masomo ni ya bwerere mbona usiwe lazy? Huwezi kujua kujitafutia ikiwa unapewa kila kitu bila malipo.After Kabanga Nickel, sasa tunasubiri Dutwa Mines yenye high grade Nickel reserves nayo tukamilishe mikataba under the new laws.
Nickel from kabanga ni Nickel Oxide while the one found in Dutwa is Nickel Laterite which does not require refining for EV battery manufacturing... There is so much more good things to come...
Sisi ni matajiri...
Naona wewe Samaboy unatokea Mwanza ndio maana hukufurahia niliposema kwamba Mwanza haistahili kulinganishwa na Mombasa.Bro Tony254 naweza kukueleza kuwa Kuna vitu mombasa inaweza ishinda mwanza Kama vile bandari na Mombasa sgr terminus lakini kwenye Mambo mengine zinafanana tu,pia vipo vitu ambavyo mwanza ipo mbele ya Mombasa Kama vile bus terminal tena hapa zipo mbili under construction;nyegezi na hiyo iliyo karibia kumalizika ya nyamagana,lakini pia majengo mazuri Mimi naweza kusema mwanza ipo mbele ,kuna majengo mapya mengi sana yamekamilishwa,siku nikipata nafasi nitapiga picha then nitatupia humu muone .lakini pia kwenye hotels haipitwi kiivyo na mombasani Ila kwenye beach Mwanza ni kitu kingine kabisa sio tu ikishindana na Mombasa hata dsm inaweza ikakaa mbele ya mwanza
Bro longo longo mingi Mimi huwa situmii hicho kinywaji .kuona ni kuamini dondosha hapa hizo beach tuzione. Halaf kuhusu airport bro MOIA hawezi izidi KIA hata siku moja lakini pia tukuangazia terminal ya abiria vs cargo terminal ya mwanza 😂😂 duh no vichekesho.alaf soon mwanza inazindua jengo la abiria ambalo moi haiwezi fika viwango hivyoNaona wewe Samaboy unatokea Mwanza ndio maana hukufurahia niliposema kwamba Mwanza haistahili kulinganishwa na Mombasa.
Hebu weka video ya Mwanza hapa nione hadhi yake.
1. Airport ya Mwanza tayari ni banda la kuku lakini mnajenga nyingine mpya. Mkimaliza kujenga hio airport na ipate wasafiri wengi kama ya Mombasa basi mje hapa tufanye battle. Airport ya Mombasa inapokea abiria zaidi ya milioni moja kila mwaka. Airport ya Mombasa sio airport ndogo maana isipokuwa Julius Nyerere hakuna airport nyingine TZ inayoipiku Moi airport Mombasa kwa idadi ya abiria.
2. Bandari ya Mombasa ni ya tano Africa tukizingatia idadi ya mizigo inayopakuliwa kila mwaka.
View attachment 1681588
Kwa hivyo kwenye airport na port Mombasa inaipiga Mwanza bila huruma.
3. Hata kwenye barabara Mombasa ina barabara nzuri kushinda Mwanza.
4. Mombasa ina SGR wakati Mwanza hata mipango hakuna za kuleta SGR huko.
5. Hata kwenye tourism, Mombasa ina 4-star na 5-star hotels nyingi kushinda Mwanza. Hata kwenye beach Mombasa ina beach nzuri kushinda Mwanza. Yaani beach ya Lake Victoria ndio unataka kulinganisha na beach ya Indian ocean?
Cc Geza Ulole Naton Jr Venus Star
Kulingana na website ya Booking.com inayotumika sana kubook mahoteli duniani inasema kwamba Tilapia Hotel Mwanza ni 3 star. Kenya hata Nakuru ina 3-star hotel.View attachment 1681558View attachment 1681559View attachment 1681560View attachment 1681561View attachment 1681562
Mchongo unaitwa tilapia hotel Tony254 watu wengi hawajui hii hotel inafananaje,ila Mimi nimehi spend pesa zangu mbuzi humu ndani .by the it's 4 start hotel
Kuhusu beach bhanaa hapa mwanza ni hatari coz huku malimbe pekee Kuna beach kuliko hiyo mama ngina yenu zaidi ya moja Tony254 nakwambia ukweli . Search mwenyewe 1 jembe beach resort 2.chakoribs. 3.avash Beach Anza na hizo zingine nikikumbuka nitakutajia uziangalie mwenyewe kumbuka hizo ni Beach zinazopatikana malimbe tu yaani 13.6km from mwanza CBD 😂😂😂 usije ukafa bure mana ukijua km zote hizo still ukutane na mavitu ka hayo The best 007 mkanye rafki ako . Chako hiyo . Avash beach duh poleni sana Kenyans kwa kujua ukweli kuwa sisi tulishawapita zamani
Nilikua nataka ufike uku na umekuja mwenyewe by the way hizo beach zote happy zina sehem yenye michanga . Bro kwa beach Mwanza ipo mbali sanaHahaha nimecheka sana. Duh! Unazingua sana. Hio video ya Charcoal ribs beach sijaona beach hapo. Mimi nimeona maji ya lake Victoria lakini sijaona beach. Beach lazima iwe na mchanga. Hio mliopanda nyasi pia mnaiita beach? Sasa mzungu akikalia hio nyasi pia mtamuambia kwamba ako kwenye beach? Mazingira ya hoteli ni nzuri, hoteli yenyewe pia inakaa kuwa nzuri tu. Lakini sijawahi kuona beach ya nyasi, hii ni mara ya kwanza.
Tazama beach za Mombasa halafu ulinganishe na hio ya nyasi.
Wacha nikupe mfano mmoja wa Mombasa Beach Hotel
View attachment 1681601View attachment 1681603
Hahaha. Hapa sikubaliani na wewe bro. Beach kama haina mchanga ni shamba ya kupandia mimea. Beach zinazoheshimika zote ni za mchanga. Kwa mfano hapa Kenya tuna beach fulani ambayo imezoea kushinda international awards kila wakati. It is one of the best beaches in Africa. Inaitwa Diani beach Mombasa. Mwaka wa 2019 ilishinda tuzo katika kundi la "Africas leading beach destination"Alaf uzuri waa beach bro sio mchanga 😂😂 Beach iliopo kandokando ya ziwa inaweza kuwa nzuri na Bora kuliko iliopo kandokando ya bahari,beach ni uwekezaji na sio mchanga Tony254
. Tony254 mwanza pia ina potential zake so mombasa bandari lakini mwanza hifadhi ya taifa
Ni sawa. Wacha mjadala uishe. Mimi siikejeli Mwanza. Mwanza ni mji mzuri na siku moja nitakuja kutembea huko. Lakini likija kwenye swala la battle basi mimi naona hata afadhali zanzibar vs Mombasa maana hizi islands mbili zilikuwa zinamilikiwa na Sultan kutoka Oman na zina fanana kwa mambo mengi. Zote ziko kando mwa Indian ocean,zote zinapokea watalii wengi, vyote viwili ni visiwa e.t.c Anyway uwe na siku njema ndugu.
Mkuu pitia tena hio list uliyopost. Diani beach imeshinda kuanzia 2014 hadi 2019. Miaka sita mfululizo. Zanzibar imeshinda mwaka mmoja tu wa 2013. Nionyeshe mahali kwenye hio list ambapo Mwanza beach imeshinda. Anyway sasa niko busy inabidi niondoke lakini fahamu kwamba beach za Zanzibar na Mombasa ni bora kuliko beach za Lake Victoria. Tutaongea baadaye.View attachment 1681609
Bwahahahaaa Kenyans bhana au sio.? Tony254 The best 007 njoo ona uku .mchanga bila investment haiwezi ikawa beach bora bro "duniani"
Hizi habari majirani wakisikia wanaharisha kwa uchungu🙂wakumbushe pia Tanzania ndo nchi pekee duniani amabayo iko na deposits za rare mineral, kama vile Tanzanite and others soon to be discovered 🙂Kabanga, Tanzania to develop world’s largest nickel deposit
Cecilia Jamasmie | January 19, 2021 | 6:49 am Base Metals Exploration Markets Africa Europe Cobalt Nickel
![]()
The Kabanga nickel project was formerly owned by Barrick Gold and Glencore. (Reference stock image.)
British miner Kabanga Nickel, formerly known as LZ Nickel, has inked a framework agreement with the government of Tanzania to develop the world’s largest battery-grade nickel sulphide deposit in the country’s northwest.
As part of the deal, the parties have created a joint company called Tembo Nickel Corp., which will mine, process and refine class 1 nickel with cobalt and copper co-products.
Kabanga Nickel is the new entity’s majority owner with an 84% stake. Tanzania owns the remaining 16%, which is the government’s usual stake in all of the country’s mining projects.
Economic benefits from the Kabanga nickel project, formerly owned by Barrick Gold (TSX: ABX) (NYSE: GOLD) and Glencore (LON: GLEN), will be shared equally between the two shareholders, the parties said in the statement.
Tanzania, Africa’s fourth-largest gold producer, has sought in recent years higher revenues from its vast mineral resources by overhauling the fiscal and regulatory regime of its mining sector.
Barrick and Glencore lost the nickel project in 2018, when President John Magufuli’s administration revoked their retention license, along with 10 others.
The move followed the suspension of new mining permits and the passing of two bills giving Dar es Salaam the right to renegotiate or revoke existing licenses.
Also cobalt and copper
The Kabanga project hosts an in situ mineral resource of 58 million tonnes at 2.62% Ni, containing more than 1.52 million tonnes (3.30 billion pounds) of nickel, a key ingredient for the making of electric vehicles (EVs).
The company said the deposit also has significant amounts of cobalt and copper with a 30-year mine life.
Kabanga Nickel noted it will acquire all the project data and information from Barrick and Glencore, including a 2014 draft feasibility study report and subsequent updates.
It also said it would build a hydrometallurgical (hydromet) plant, which is expected to reduce carbon footprint and minimize environmental impact, as well as lower capital and production costs.
“The project aims to develop the country’s vision of adding value to all minerals and to expand refineries beyond Kabanga that will make Tanzania a regional and central hub for East and central Africa that will process minerals in Africa,” the company’s vice chairman, Chris von Christierson, said in the signing ceremony.
Fitch Solutions has forecast nickel mine production to grow by 8.3% this year from 2020, boosted by rising prices.
9168 0
Share
![]()
Kabanga, Tanzania to develop world’s largest nickel deposit
The UK-based miner and Tanzania will jointly develop a project formerly owned by Barrick and Glencore.www.mining.com
CC: Tony254