hapo ni 50km kutoka CBD we mshamba wa wapi. sehemu ikiwa hivyo haimaanishi kuwa ni village



hizo ni site za kibiashara ambazo hata ukiwa city center aidha nairobi ama dar pia utakuta viwanja vikiuzwa ni vitu vya kawaida sana ......
Sasa compare na vituko vyenu yaani 13km only tiyari mna mavichaka,leo inabidi ujue tofauti ya dar na nairobi hebu jicheke kwanza.....
jengeni kwanza hiyo nairobi bado sana,,,,,yaani km chache tu unakutana na vichaka plot

View attachment 1680924View attachment 1680929View attachment 1680930View attachment 1680931View attachment 1680932View attachment 1680933View attachment 1680934View attachment 1680935View attachment 1680936