Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Wewe huwa muungwana sana. Huogopi kupongeza manyang'au pale ambapo wanastahili kupongezwa.Huu Mji naona mtausukuma taratibu but sure...mmeiga sandton?
Wewe huwa muungwana sana. Huogopi kupongeza manyang'au pale ambapo wanastahili kupongezwa.Huu Mji naona mtausukuma taratibu but sure...mmeiga sandton?
wakimalizana na horizontal infrastructure ndo tutaanza kuona mabadiliko kwenye huu mji kama Tatu cityHuu Mji naona mtausukuma taratibu but sure...mmeiga sandton?
Hili shirika linakwenda kuua kq hili, hapa ndipo akili za Magu zitashuhudiwa yn Magu atoe pesa yake alafu ipotee, never ever, kwa mbaalii nawaona UFIPA na ndg zao wakunya wakihara kwa asiraTwende Air tanzania





In the next one year, this place will have a maze of roads never seen before in Africa.
This is Nairobi Kenya
View attachment 1681044
Ukiichukua Naipori ukaiweka Dar litabaki eneo kubwa sn likiwa pori.Yaani hii ni Dar na ina vichaka namna hii? Duh!
Hongereni kwa meli kutua directly bila kupakua mizigo baharini. Hii ni step nzuri mliochukua.Imeingia mtwara hio
View attachment 1681043
Huyu Ole gunnar soja anapenda kutaja taja mlima wetu sana.
ushasema nyang'au halafu apongezwe!?Wewe huwa muungwana sana. Huogopi kupongeza manyang'au pale ambapo wanastahili kupongezwa.
Tatu city iko wapi sswakimalizana na horizontal infrastructure ndo tutaanza kuona mabadiliko kwenye huu mji kama Tatu city







Huyu Ole gunnar soja anapenda kutaja taja mlima wetu sana.








muoneni uyu ameanza kujisikia fahari kuwa mtz, tony usimlaumu Mungu kutokuzaliwa Tz.Wewe hujawahi kutupongeza kwa lolote lile. Na haitokuja kutokea siku ambapo wewe utatupongeza. Siku ambayo utatupongeza ndio siku ambayo dunia itaisha.ushasema nyang'au halafu apongezwe!?
Hiyo ni alert, so be ready for surprise.Hongereni kwa meli kutua directly bila kupakua mizigo baharini. Hii ni step nzuri mliochukua.
Huo ni ushambaMambo yetu hufanywa kimya kimya,si kupayuka kila wakati
![]()
Chinese investor promises jobs on tour of Kakamega gold refinery plant site
The successful investor is expected to complete the construction in six monthswww.the-star.co.ke
BwahahahaKuna fala anatuambia eti Tundwi is 50 kms from Dar cbd so it's no big deal even if it has that village feel. Below is Rironi, 43 kms from Nairobi cbd but imejengeka in all corners. Tanzanians you still have a long way to catch up with Nairobi
View attachment 1681032
Compare with Tundwi below, 50kms from the cbd![]()
![]()
![]()
View attachment 1681035

kijiji km kijiji aiseePamoja na kwamba nusu ya Nairobi ni zoo lakini bado vichaka Nairobi ni vikubwa sana, hii inasababishwa na nini kitaalam?Wacha kujitetea kijana. Nusu ya Dar ni vijiji. Na mko busy hapa mentioning Dar's size wakati nusu ya hiyo ni vijijini kabisa. Bado nitaendelea kuleta hizo vijiji watu wajionee Dar ilviyo 😂
Bwahaha!!mtalia sana lkn mombasa haigusiki hata mlete nn


Hahahaha excuse me, what's this? 😅😅😅😅Kuna fala anatuambia eti Tundwi is 50 kms from Dar cbd so it's no big deal even if it has that village feel. Below is Rironi, 43 kms from Nairobi cbd but imejengeka in all corners. Tanzanians you still have a long way to catch up with Nairobi
View attachment 1681032
Compare with Tundwi below, 50kms from the cbd 😂 😂 😂
View attachment 1681035