Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujitetea ni ruksa but haitaondoa ukweli kwamba nusu ya Dar ni vijiji. Hizo picha za Ruiru you can clearly see Luna hadi nyumba, tena za maana but kule kwenu ni nyasi na miti
mnachonifurahisha km chache kutoka nairobi cbd unakutana na vichaka,,,,hiyo nairobi ni kamji siyo city......jengeni kwanza...

50 & som thng km unacompare na 18-20 km huo ni ukichaa ,,jengeni nairobi mna eneo dogo but mnashindwa kulihumudu kwenye ujenzi
 
hapo ni 50km kutoka CBD we mshamba wa wapi. sehemu ikiwa hivyo haimaanishi kuwa ni village hizo ni site za kibiashara ambazo hata ukiwa city center aidha nairobi ama dar pia utakuta viwanja vikiuzwa ni vitu vya kawaida sana ......

Sasa compare na vituko vyenu yaani 13km only tiyari mna mavichaka,leo inabidi ujue tofauti ya dar na nairobi hebu jicheke kwanza.....

jengeni kwanza hiyo nairobi bado sana,,,,,yaani km chache tu unakutana na vichaka plot

View attachment 1680924View attachment 1680929View attachment 1680930View attachment 1680931View attachment 1680932View attachment 1680933View attachment 1680934View attachment 1680935View attachment 1680936
Compare and contrast Google Earth images between Ruiru and Tundwi below ndio tujue village Ni gani between these two. One is built up all over while the other is totally deserted with no sign of human activity. Stop comparing apples with oranges

Ruiru
Screenshot_20210119-092546.png

Tundwi
Screenshot_20210119-092632.png
 
mnachonifurahisha km chache kutoka nairobi cbd unakutana na vichaka,,,,hiyo nairobi ni kamji siyo city......jengeni kwanza...

50 & som thng km unacompare na 18-20 km huo ni ukichaa ,,jengeni nairobi mna eneo dogo but mnashindwa kulihumudu kwenye ujenzi
I already showed you google earth image of the place you call kijiji vs the village that you are defending here so mush called Tundwi. Unaona zikifanana? 😂 😂
 
Sasa wewe ulitegemea kila eneo la jiji limejengwa?acha upimbi wako
Ni mara ngapi huwa mnatuambia vile Dar ni kubwa and even quote its size? Hiyo size inaisaidia nini Kama nusu yake ni vijijini? Hizo ni vijiji kaka. Hata kijijini kwetu afadhali 😂 😂
 
Compare and contrast Google Earth images between Ruiru and Tundwi below ndio tujue village Ni gani between these two. One is built up all over while the other is totally deserted with no sign of human activity. Stop comparing apples with oranges

Ruiru
View attachment 1680993

Tundwi
View attachment 1680995
We nawe ebu wacha ufala, huwezi linganisha Dar na Nairobi as far as urbanization is concerned, co Nairobi tu bali miji yote (capital cities) ya EA ukiunganisha huwezi fikia Dar kwa mijengo.

Dar ndio mji wenye density kubwa ya buildings na hata residentials Dar usiijaribu kabisa, hakuna mabati huku, tatizo la Dar ni moja tu watu walijenga hovyo baadhi ya maeneo, lkn hizo nyumba zilizojengwa hovyo ni nyumba za block na kali, uliza walimu wa Kenya wanaofanya kazi Tz wakuambie.

Huwezi kabisa kulinganisha na usithubutu kabisa unajichosha bure kutaka kuondoa mentality ya Naipori
 
hapo ni 50km kutoka CBD we mshamba wa wapi. sehemu ikiwa hivyo haimaanishi kuwa ni village hizo ni site za kibiashara ambazo hata ukiwa city center aidha nairobi ama dar pia utakuta viwanja vikiuzwa ni vitu vya kawaida sana ......

Sasa compare na vituko vyenu yaani 13km only tiyari mna mavichaka,leo inabidi ujue tofauti ya dar na nairobi hebu jicheke kwanza.....

jengeni kwanza hiyo nairobi bado sana,,,,,yaani km chache tu unakutana na vichaka plot

View attachment 1680924View attachment 1680929View attachment 1680930View attachment 1680931View attachment 1680932View attachment 1680933View attachment 1680934View attachment 1680935View attachment 1680936
Anabishana kila kitu uyo
 
Hapo kuna world bank ganiya chayo au..
Alafu tatizo hyo link haitozuia vijana kuchapa kazi
Watu wanapiga hela wewe unaleta vi link vya media huru hapa

Mambo yetu hutoyaweza wewe kwanza ukijichanganya na media kwishnehi
Kama hakusema from world bank mm nafunga acc jamii forum🤣🤣👇👇

We nawe ebu wacha ufala, huwezi linganisha Dar na Nairobi as far as urbanization is concerned, co Nairobi tu bali miji yote (capital cities) ya EA ukiunganisha huwezi fikia Dar kwa mijengo.

Dar ndio mji wenye density kubwa ya buildings na hata residentials Dar usiijaribu kabisa, hakuna mabati huku, tatizo la Dar ni moja tu watu walijenga hovyo baadhi ya maeneo, lkn hizo nyumba zilizojengwa hovyo ni nyumba za block na kali, uliza walimu wa Kenya wanaofanya kazi Tz wakuambie.

Huwezi kabisa kulinganisha na usithubutu kabisa unajichosha bure kutaka kuondoa mentality ya Naipori
Of course Dar ndio mji wenye density as you can see below. 😂 😂 😂
Screenshot_20210119-092632.png
Screenshot_20210119-003605~2.png
Screenshot_20210119-003908~2.png
Screenshot_20210119-003849~2.png
Screenshot_20210119-003641~2.png
Screenshot_20210119-003806~2.png
 
Back
Top Bottom