Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_16110467143012259.jpg
 
Hapa kazi tu. Waya za stima high voltage ambazo ziko under construction. Tunapiga kazi bila kubwabwaja.

mzee uzalendo kuntu! 😀 😀 ☝️ watu wanajaribu kufananisha Mwanza na Mombasa! Mwanza inaenda kuwa Johannesburg ya Eas Africa maana headquarters za haya makampuni yanaenda kufungua ofisi Mwanza city!
1. Weka airport ya Mwanza: Banda la kuku
2. Weka port ya Mwanza: Haina
3. Weka SGR: Haina na wala hakuna mpango huo wa kuleta SGR Mwanza
4. Weka vehicle assembling plants: Haina
5. Kuna 4-star au 5-star hotels: hamna
6. Idadi ya watalii wanaofika Mwanza kutalii: ni ndogo sana.
7. Barbara za mwanza zina leni ngapi? : Leni moja moja kila upande
Mwanza tunaipa Nakuru maana Mombasa iko ligi tofauti.
 
Ya right...

Nyinyi huwa hamumaintain nyaya zenu za stima? Hamfanyi repair works? Hamuunganishi new customers to the grid? Hizi zote ni sababu za kuzima stima ili wengine nao waunganishwe kwenye grid. Au kama mti imeangukia nyanya za stima lazima repair works ifanyike. Hata USA baada ya Hurricane kuchapa maeneo fulani stima huwa zinapotea inabidi repair zifanywe
 
Unajua ningekuelewa kama Kenya ingekuwa inafanya kitu inayoitwa "power- rationing". Sisi hatufanyi power rationing kama South Africa au Nigeria au pengine hata Tanzania, mahali ambapo wanazimiwa umeme kila siku nchi nzima kama masaa kadhaa. Sisi ni baadhi ya maeneo na kwa masaa machache kwa sababu ya maintenance
 
Meanwhile sisi tuna-launch energy intesive mining projects! Hivi unafikiri Kenya inaweza kuwa na mgodi wa Nickel kwa umeme wa kisoda? Au Gold refinery? Au Graphite au Bauxite mining/ refinery?
 
Back
Top Bottom