Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

je mmejenga interchange eldoret kwa matntik gani..?
(a).mahitaji
(b)fashion

je ilideserve hiyo sehemu kuwa na interchange?...


poor kenyan plan
Eldoret is the fifth largest town in Kenya. How you think it doesn't deserve an interchange considering the number of vehicles there only baffles me!
 
Ugly features. Utafikiri mijengo ya Kisoviet
If those are ugly, what do we call this one in Pugu?
2012276_Screenshot_20190314-140930.jpeg
This one is an epitome of ugliness
 
haya madawati mbona yanakaa mabaya namna hiyo? jeshi limetumia mabanzi?
Wewe huna shukrani. Wewe huoni kwamba atleast tumepea hao watoto wa Somalia madawati na chakula ilhali hapa Kenya bado kuna baadhi ya mashule ambayo hayana madawati au chakula ya kutosha? Kuna mashule ya Kenya ambayo yanadeserve hayo madawati zaidi. So atleast KDF wameingia mfukoni mwao na kusaidia raia wa nchi nyingine free of charge bila malipo. Hilo limetosha kuwapa hongera sio kukejeli madawati.
 
noma sana

Hongera sana. Miradi kama hii inayounganisha maeneo ambayo yalikuwa hayana lami zamani ni muhimu sana. Miradi kama hii ndio itafanya real potential ya Tanzania kupatikana. Maana Trade kati ya TZ na malawi itaongezeka. Samaki kutoka lake Nyasa watafika haraka katika masoko ya TZ bila kuharibika. Town hio itawacha kuwa ndogo maana watu watakuja kuinvest katika hio town. Tanzania bado mna potential kubwa sana na muzidi kuunganisha maeneo muhimu kama haya na lami. Impact itakuwa kubwa kwenye uchumi.

Cc Geza Ulole
 
Wakati nikiwa mdogo nilizoea kuona Wachina wafupi wafupi ila hawa wachina wakileo ni warefu hasa, sijui wanakula nini siku hizi?
It is scientifically proven kwamba kuna direct correlation between animal protein intake na height of an individual. Yaani societies ambazo watoto wao wanakula nyama na kunywa maziwa tangu wakiwa wadogo huwa inafanya watoto hao kuwa warefu wanapokua wakubwa. Halafu height inazidi kuongezeka kila generation. Mfano mzuri ni nchi ya Netherlands ambao watu wao walikuwa average height 100 years ago lakini walipo-increase animal protein intake basi height yao imeongezeka sana in less than 100 years







Major correlates of male height: A study of 105 countries​

P Grasgruber et al. Econ Hum Biol. 2016 May.
Free article
Show details

Abstract PubMed PMID
Full-text linksCite

Abstract​

The purpose of this study is to explore the main correlates of male height in 105 countries in Europe & overseas, Asia, North Africa and Oceania. Actual data on male height are compared with the average consumption of 28 protein sources (FAOSTAT, 1993-2009) and seven socioeconomic indicators (according to the World Bank, the CIA World Factbook and the United Nations). This comparison identified three fundamental types of diets based on rice, wheat and milk, respectively. The consumption of rice dominates in tropical Asia, where it is accompanied by very low total protein and energy intake, and one of the shortest statures in the world (∼162-168cm). Wheat prevails in Muslim countries in North Africa and the Near East, which is where we also observe the highest plant protein consumption in the world and moderately tall statures that do not exceed 174cm. In taller nations, the intake of protein and energy no longer fundamentally rises, but the consumption of plant proteins markedly decreases at the expense of animal proteins, especially those from dairy. Their highest consumption rates can be found in Northern and Central Europe, with the global peak of male height in the Netherlands (184cm). In general, when only the complete data from 72 countries were considered, the consumption of protein from the five most correlated foods (r=0.85) and the human development index (r=0.84) are most strongly associated with tall statures. A notable finding is the low consumption of the most correlated proteins in Muslim oil superpowers and highly developed countries of East Asia, which could explain their lagging behind Europe in terms of physical stature.
 
Eldoret is the fifth largest town in Kenya. How you think it doesn't deserve an interchange considering the number of vehicles there only baffles me!
hebu kuwa muwazi tu hiyo town naijua kiasi nimewahi kaa 1week na sehemu ya interchange naipata vyema 5th town si kitu rudi kwenye point ya msingi,,,,,,


unauhakika kuwa mlijenga kwa tija kulingana na mahitaji....?
 
It is scientifically proven kwamba kuna direct correlation between animal protein intake na height of an individual. Yaani societies ambazo watoto wao wanakula nyama na kunywa maziwa tangu wakiwa wadogo huwa inafanya watoto hao kuwa warefu wanapokua wakubwa. Halafu height inazidi kuongezeka kila generation. Mfano mzuri ni nchi ya Netherlands ambao watu wao walikuwa average height 100 years ago lakini walipo-increase animal protein intake basi height yao imeongezeka sana in less than 100 years
Study nzuri sana hii, ntaendelea kuifuatilia kiundani zaidi hasa ukizingatia wamasai huwa ni warefu kulinganisha na makabila mengine.
 
Back
Top Bottom