Vituo vikubwa abiria Hakuna, train 1 kwa siku tena ni Mombasa Nairobi tuWanangu mchina katafutwa, wafanya mchezo wewe..
Unashangaa website ya south picha ya keView attachment 1678054View attachment 1678055View attachment 1678056
Monbasa Nbi ni train tatu kwa siku ya abiria. Za mizigo ni zaidi ya trains kumi mbili kwa siku.Vituo vikubwa abiria Hakuna, train 1 kwa siku tena ni Mombasa Nairobi tu
Huyu anadanganya?Monbasa Nbi ni train tatu kwa siku ya abiria. Za mizigo ni zaidi ya trains kumi mbili kwa siku.
Hii ngoma ikiisha hii itapendezesha sn jiji, hahahahaaaa Wakenya another blue loading......
Tofauti ni kubwa sana, unajua hawa wenzetu wamechelewa mno sema hawajui tu.
Huyu anadanganya?
Tena hata hiyo 1 haijai, almost tupu
King of what ??🤣🤣🤣🤣 ile greenfield ilienda wapi???Nashangaa huyu na hajui Jkia is the king of EA,,top ten best Airport in Africa 🤣🤣
Kutoka one laptop per child hadi one tree per child



Nimekuuliza huyo anaongopa?
Sisi tumelaunch hadi trains za usiku na wewe uko hapa kumuamini beberu. Anyway amini unachotaka.
Geza Ulole
angalia date ya hio video. Hio video ni ya last week. Hii train service ya usiku imeanza January 2021 na itaendelea.Za December 😅😅
Ugly features. Utafikiri mijengo ya KisovietWanangu mchina katafutwa, wafanya mchezo wewe..
Unashangaa website ya south picha ya keView attachment 1678054View attachment 1678055View attachment 1678056