Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,781
Buhongwa, Usagara, Kishiri ni sehemu zipo Mwanza!Kampala Entebbe expressway.
Shida mnatumia pic ya nchi ingine,
Tumieni renders zenu wenyewe.
Buhongwa, Usagara, Kishiri ni sehemu zipo Mwanza!Kampala Entebbe expressway.
Shida mnatumia pic ya nchi ingine,
Tumieni renders zenu wenyewe.
Mjitahidi sasa mtoe ile mikokoteni ya maji mjiniView attachment 1678233View attachment 1678230
View attachment 1678235Construction of Water Treatment Plant (WTP) in konza. Noma sana
Hii interchange ata Ni ya Uganda 🤣🤣🤣🤣wezi wa pictures 👏👏👏🤣🤣Nyie mna daraja la maana Kenya nzima? Hebu angalia hiyo interchange na barabara zake halafu uniambie ukiacha Kampala ni jiji gani around Lake Victoria lina design nzuri namna hiyo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haha kumbe mumeiba interchange ya Uganda. Venus Star niliwaambia kwamba kwenye sophistication ya barabara mko nyuma sana. Hata Uganda wamewashinda.
Umeona eee? Sisi ndiyo wataalam hapa EA. Nataka nijue nani consultant kwenye lot ya Mwanza - Isaka. Wale rafiki zetu tusipowabana hawakawii kutuletea famba kama za jirani zetu hapo juu.watu matumbo ya uzazi yameanza kucheza huko.
kweli nimeamini tuko serious na hili jambo letu la kuiweka tz nafasi yake.
Alafu wanapigia ndani ya 'Dish' huku amegonoka!aise,hii ni aibu kwenye nchi.Hahaha. Yaani unapiga kura wazi wazi na polisi wanakutazama ili ukipigia Bobby Wine polisi wanadeal na wewe. Haha
Toa makeup tuone mji ulivyo kuukuuThe future of East coast of Africa is Mombasa , forget about the slumpolis.
View attachment 1678284View attachment 1678285
View attachment 1678286
Unajua mm hua nashangaa wanaoibeza Tanzania 🇹🇿 kwa namna yoyote ile,ss ni watu waliostaarabika kwa kiasi kikubwa Sana ukiachia wenzetu wachache wanaotuhibisha hapa na pale.Tofauti ni kubwa sana, unajua hawa wenzetu wamechelewa mno sema hawajui tu.
wanatujua tulivyo makini,sio macho kumchuzi kama serikali ya jiraniUmeona eee? Sisi ndiyo wataalam hapa EA. Nataka nijue nani consultant kwenye lot ya Mwanza - Isaka. Wale rafiki zetu tusipowabana hawakawii kutuletea famba kama za jirani zetu hapo juu.


Ni wivu unakusumbua tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tz is overrated,,UG should be in front is this lazy wapoko
Mombasa will never be ahead of DarThe future of East coast of Africa is Mombasa , forget about the slumpolis.
View attachment 1678284View attachment 1678285
View attachment 1678286
Huyo ni mtu mkubwa sana kwenye scientific community. Nilikuwa nataka kujua kama Watz mnamfahamu au mumezubaa tu.Namfahamu kiasi, vp imekuaje tena!