Mombasa wacha tu,Dar chunga sanahapo hamna kkoo,wala kinondoni.
View attachment 1678396
View attachment 1678397


Mnakosea sana kujoin huu utopolo
Watz ndiyo mababa wa science hapa EA na ndiyo maana hata covid ilimalizwa ki science ya Tz kwisha.Huyo ni mtu mkubwa sana kwenye scientific community. Nilikuwa nataka kujua kama Watz mnamfahamu au mumezubaa tu.
Tumefanya kitambo hiyo ndio maana hakuna shida ya maji Dar.View attachment 1678233View attachment 1678230
View attachment 1678235Construction of Water Treatment Plant (WTP) in konza. Noma sana
🤣🤣🤣🤣👇👇👇 mapovu yao
ndio hii uchafu munaotuletea hapa🤣🤣🤣👇👇👇👇 mwanza ina modern buildings than even mombasa haha View attachment 1678406View attachment 1678408
Density au sio








Halafu mara nyingi huwa unawaumbua na huu ushuzi zen wanaona aibu lkn kuna siku wanakosa cha kupost wanarudia tenamapovu yao
ndio hii uchafu munaotuletea hapamwanza ina modern buildings than even mombasa haha View attachment 1678406View attachment 1678408




Skieni huyu,hii technology inatumika hapa is the first one in East and central Africa,nyi hamna,,konza si city ya kawaida kila kitu hapo Ni of new technologiesTumefanya kitambo hiyo ndio maana hakuna shida ya maji Dar.
DevelopmentDensity au sio![]()
Iko wapi ss hiyo konza, btw hizo mambo za water tumefanya kitambo sana.Skieni huyu,hii technology inatumika hapa is the first one in East and central Africa,nyi hamna,,konza si city ya kawaida kila kitu hapo Ni of new technologies
Tanzanumia ni kiboko hatutegemei milima ni real direct interchange
huwa hatujengi vitu ilimradi for fashion....Sasa ndio mumeanza kujenga interchange? Aki mko nyuma.

je mmejenga interchange eldoret kwa matntik gani..?Sisi tuna interchanges nyingi sana. Zaidi ya kumi. Hata Eldoret ina clover-leaf interchange. Nyinyi saa hii ndio mnaingia kwa haya mambo.


