Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leteni picha za footbridge za Dar. Kusema ukweli mimi sijawahi kuziona.
The best 007 leta picha za footbridge. Weka atleast mbili ndio tujue kwamba ni ukweli.
Ubungo footbridge
dar_20170326_xd_530.jpg
 
Leteni picha za footbridge za Dar. Kusema ukweli mimi sijawahi kuziona.
The best 007 leta picha za footbridge. Weka atleast mbili ndio tujue kwamba ni ukweli.
Ninyi mijitu ni mishamba sana, Tanzania haijengi miundombinu bila kuwa na umuhimu wa kuujenga, miundombinu inajengwa in accordance with the need of it

Hii ni Mwanza

images (18).jpeg
images (17).jpeg
images (16).jpeg
images (15).jpeg
images (14).jpeg
images (15).jpeg
 
Ninyi mijitu ni mishamba sana, Tanzania haijengi miundombinu bila kuwa na umuhimu wa kuujenga, miundombinu inajengwa in accordance with the need of it

Hii ni Mwanza

View attachment 1678732View attachment 1678733View attachment 1678734View attachment 1678735View attachment 1678736View attachment 1678735

agoogle
1. Manzese bridge
2. Morocco bridge
3. Ubungo bridge
4. Kimara mwisho bridge
5. Tangibovu bridge
6. Bugurun bridge
7. Mbezi mwisho bridge
8. Mbezi-Kibaha highway bridge (lipo upande wa Dar)

hizo ni za Dar tu
 
Hua wanajenga ovyo ovyo ndio maana leo madeni yanawatesa sasa ww niambie ile overpass ya kisumu inauhitaji gani???
Nilijifunza ni kwamba Kunyaland nzima wanaasili ya sifa za kijinga walizolisishwa na Kenyatta, ndo mana huwa wanaingia madeni ili mradi waonekane na wao hawako nyuma.

Wakati mwingine huwa wanachekesha sana, utakuta wamejenga tunnel road sehemu ambayo ni tambarare hahahahaaaaa
 
Nyinyi huwa mkishindwa mnaanza kusema eti sisi ni watu wa sifa.

Cc ichoboy01
 
agoogle
1. Manzese bridge
2. Morocco bridge
3. Ubungo bridge
4. Kimara mwisho bridge
5. Tangibovu bridge
6. Bugurun bridge
7. Mbezi mwisho bridge
8. Mbezi-Kibaha highway bridge (lipo upande wa Dar)

hizo ni za Dar tu
Pale Mbagala pia inajengwa kalii
 
Ameshapewa sindano zake ata ivyo, lkn tatizo la Tony atakuja kusahau km alishaoneshwa so tegemea kuulizwa tena hilo swali toka kwa Tony
Huyu Tony254 anatafuta pa kujishika tangu ni-post mradi wa interchange Mwanza maana anajua itajengwa kuunganisha na daraja la Busisi-Kigongo! Siku hizi hawathubutu kuilinganisha Mwanza na Kisumu!
 
Back
Top Bottom