NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Hili jengo walimalize maana tayari litaanza kung'olewa hizo rails za cladding!
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio wanaweka Boss, angalia hizo lift tatu zilizoning’inia.
Hili jengo walimalize maana tayari litaanza kung'olewa hizo rails za cladding!
Peleka upumbavu kwani Tanzania hatuna maziwa yaani mnagombana kwa ajili ya maziwa ambayo brookside ilichofanya ni kuya-pasteurization na kuya-pack na kuleta! EAC should be for industrial goods kama nyie mna-import chakula ni kwa ajili ya uzembe wenu wa kutolima!Huu ni mgogoro wa kawaida wa kibiashara. Hakuna figisu hapa. Utatatuliwa mahakamani. Hata nyinyi kuna wakati mlizuia maziwa ya brookside kuuzwa huko kwenu.
Hahaha. Yaani unapiga kura wazi wazi na polisi wanakutazama ili ukipigia Bobby Wine polisi wanadeal na wewe. Haha
Kumbe ni kweli mnaunda glass cladding. Hata kama Salehbhai ni kampuni ya muhindi hongereni sana.
Huu ni mgogoro wa kawaida wa kibiashara. Hakuna figisu hapa. Utatatuliwa mahakamani. Hata nyinyi kuna wakati mlizuia maziwa ya brookside kuuzwa huko kwenu.
JKIA cladding ilifanywa na kampuni ya TanzaniaKumbe ni kweli mnaunda glass cladding. Hata kama Salehbhai ni kampuni ya muhindi hongereni sana.
Kwenye finishing bongo hatujawahi kukosea, nenda pale ubongo interchange uone hizo finishing touch mzee, utasema ni mbeleMorogoro wamepiga mpka ile milango ya sensor safi sanaaa[emoji91][emoji91][emoji91] tuache utani izi stations nizakisasa sanaa , nice finishingView attachment 1677847View attachment 1677848View attachment 1677849View attachment 1677851View attachment 1677852View attachment 1677853View attachment 1677854View attachment 1677855View attachment 1677856View attachment 1677857
Hata sisi tuna manufacture glass. Kwa hivyo hatutaki competition from your companies. Kauzeni Uganda hivyo viglass vyenu. Sisi tuna industries nyingi na hatuhitaji products kutoka kwenu. Hio EAC protocol ni mbaya na Kenya inastahili kuirevoke. Juzi Kenya imekubali kuimport 90,000 tonnes of sugar from Uganda kwa sababu ya EAC protocol.Peleka upumbavu kwani Tanzania hatuna maziwa yaani mnagombana kwa ajili ya maziwa ambayo brookside ilichofanya ni kuya-pasteurization na kuya-pack na kuleta! EAC should be for industrial goods kama nyie mna-i,port chakula ni kwa ajili ya uzembe wenu wa kutolima!
Sikuwa na habari.JKIA cladding ilifanywa na kampuni ya Tanzania
![]()
Umeipata sasa habari 🤣🤣🤣🤣Sikuwa na habari.
kuna watu wana daraja la sgr ukiangalia utadhani bado ujenzi haujaisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Kwenye finishing bongo hatujawahi kukosea, nenda pale ubongo interchange uone hizo finishing touch mzee, utasema ni mbele
Super nn embu rudia?Compare na superhighway uchekwe🤣🤣[emoji91]View attachment 1677630
[emoji38][emoji38][emoji38]huu ni ujinga kabisa.Wataharibika macho. Halafu ni torture. Tuna waziri wa elimu mjinga sana. Yeye ndio ametoa agizo kwamba wanafunzi wasome nje ya darasa kwa sababu ya kuzuia uambukizaji wa corona. Cha kushangaza ni kwamba waziri huyu ni professor wa medicine na amesoma hadi UK.
Mkuu wizara ya tamisemi inashughulika na mambo gani? Bado hujanijibu mkuu.Umeipata sasa habari 🤣🤣🤣🤣
haya isuzu assembly plant hio😀
local government issues, all city and municipal governments are under TAMISEMI! capito?Mkuu wizara ya tamisemi inashughulika na mambo gani? Bado hujanijibu mkuu.