Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lia tu, na floating bridge inachapa job
Siku hizi mmebaki kusema INACHAPA KAZI yn mmetoka kubattle quality mmebaki na only quantity ss kwn tumesema haichapi kazi? Hapa tunaongelea quality, mara utasikia mkisema "ndiyo ni mtungi wa chang'aa lkn unachapa kazi" kwahiyo zetu ambazo ni quality hazichapi kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Palm village ...what a view awaiting
IMG_8299.jpg

the folk who gonna call this apartment home
IMG_8298.jpg

IMG_8300.jpg

IMG_8297.jpg
 
Siku hizi mmebaki kusema INACHAPA KAZI yn mmetoka kubattle quality mmebaki na only quantity ss kwn tumesema haichapi kazi? Hapa tunaongelea quality, mara utasikia mkisema "ndiyo ni mtungi wa chang'aa lkn unachapa kazi" kwahiyo zetu ambazo ni quality hazichapi kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani nimeangalia hiyo floating bridge nikalinganisha na ile render ya Likon Bridge nikatamani hadi kulia. Tumuonee huruma jirani msiba wake ni msiba wetu
 
View attachment 1675800
I Love Dar, its my city lakini tumekuwa wachafu mno, we are killing this city, huwezi ukawa na vitu namba hii downtown. Its time we change and give pride with our cities. Haya mambo ya hovyo kwa lugha ya wanyonge should end. We need proper cities, smart cities.
Umefika Nairobi mkuu...au Kampala...the same situation..labda pale Kigali ndo hakuna hayo Mambo.
 
watu matumbo ya uzazi yameanza kucheza huko.

kweli nimeamini tuko serious na hili jambo letu la kuiweka tz nafasi yake.
 
Back
Top Bottom