Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Updates
IMG_4815.jpg

IMG_4814.jpg

IMG_4813.jpg
 
vioo hapana tuna export glass and cladding products in the region! Hata steel imeeenda Kenya kwavile hamna steel fabricators wa the kind of steel used in the project around Tanzania!

Angalia figisu lenu
Huu ni mgogoro wa kawaida wa kibiashara. Hakuna figisu hapa. Utatatuliwa mahakamani. Hata nyinyi kuna wakati mlizuia maziwa ya brookside kuuzwa huko kwenu.
 
Hebu sikiza hii video 🤣🤣👇👇

Nimesikiliza video yote. Mhandisi hajasema kioo kinatoka wapi. Yeye tu ndio anajua jibu la hilo swali.
Halafu "Tamisemi" ina maana gani maana naona huyo ni waziri wa Tamisemi.
 
Back
Top Bottom