Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44. Zege la mita tatu limeshamwagwa kwenye foundation. Sasa linakauka.

8F44AAB3-1EA5-4F55-9D09-634664D42C5B.jpeg

Cc ichoboy01 Geza Ulole The best 007 tuusan
 
BRT bus yetu ni kali kushinda yenu.

hio ni prototype kwanza nimeshaona kasoro nyingi tu... hivyo vya kushikia zinatakiwa ziwe na pole yake ambayo imeattachiwa kutoka chini or floor ya gar...isitegemee kiti.. pili gari liko chini sana ukingatia itabeba watu wengi

anyway, zile locally made ziko wap? yan nyie wenyewe hamzitumi na eti mlitaka mtupe sis?? mpo sawa kweli kichwan??
 
Hawa polisi wa Uganda jameni. Yaani hata aibu hawana kabisa. Halafu wana unyama sana.
 
Attachments

  • VID-20210114-WA0000.mp4
    9.7 MB
hio ni prototype kwanza nimeshaona kasoro nyingi tu... hivyo vya kushikia zinatakiwa ziwe na pole yake ambayo imeattachiwa kutoka chini or floor ya gar...isitegemee kiti.. pili gari liko chini sana ukingatia itabeba watu wengi

anyway, zile locally made ziko wap? yan nyie wenyewe hamzitumi na eti mlitaka mtupe sis?? mpo sawa kweli kichwan??
Wewe unajua kwa nini liko low? Ama unaropokwa tu. Kama hujui sababu ya kuwa low sema uambiwe sio kujifanya mjuaji wakati hujui lolote.
 
Back
Top Bottom