Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile terminal inawapa bragging rights at JKIA!
Hio terminal ilijengwa haraka haraka maana terminal yetu ilichomeka kwa moto. Majengo ya JKIA airport ni nzee sana maana airport ilijengwa in the 70s. Kenya inastahili kujenga terminal kubwa na modern na kuhama from those old terminals.
 
Nimesikiliza video yote. Mhandisi hajasema kioo kinatoka wapi. Yeye tu ndio anajua jibu la hilo swali.
kuna video ya zamani wakati wanamwaga zege la msingi, huyu mhandisi wa Jiji/Mkoa wa mwanza alisema wanangojea vyuma kutoka Kenya na vioo Kutoka Dar.
Halafu "Tamisemi" ina maana gani maana naona huyo ni waziri wa Tamisemi.
Tamisemi ni Tawala za mikoa na serikali za mitaa. Hiyo wizara kwa awamu hii ya tano iko chini ya ofisi ya Rais na hivyo jina lake kamili ni OR -TAMISEMI.
 
TDB tower, Kilimani, Nairobi. 19 floors (u/c)
E3A654B0-FDA0-4630-8EA0-41927F5D80D9.jpeg
IMG_8114.jpg
E3A654B0-FDA0-4630-8EA0-41927F5D80D9.jpeg
 
Hio terminal ilijengwa haraka haraka maana terminal yetu ilichomeka kwa moto. Majengo ya JKIA airport ni nzee sana maana airport ilijengwa in the 70s. Kenya inastahili kujenga terminal kubwa na modern na kuhama from those old terminals.
Chief unanichanganya, mbona mabuda wengine wanaita modern airport?
 
Nashangaa huyu na hajui Jkia is the king of EA,,top ten best Airport in Africa 🤣🤣
Hao wanadhani just because their newly minted Julius Nyerere terminal is ultra-modern kwamba watatufikia in terms of passenger numbers. Hawajui kwamba there is no correlation between passenger numbers and how modern an airport is. JKIA itazidi kuhandle the highest number of pax in EA.

Cc Geza Ulole.
 
Hao wanadhani just because their newly minted Julius Nyerere terminal is ultra-modern kwamba watatufikia in terms of passenger numbers. Hawajui kwamba there is correlation between passenger numbers and how modern an airport is. JKIA itazidi kuhandle the highest number of pax in EA.

Cc Geza Ulole.
jipe moyo ila inside unajua kabisa the figures will change especially with the number of investments zinazofanyika Tanzania kuruhusu Utalii kukua kwa kufikika kirahisi!
 
Back
Top Bottom