Hehehe!!naona umeanza kuchanganya ma-file sasa..What?Kwa hiyo unadhani “highway” haitumiki marekani? Wewe ni mjinga! Mimi sijakuonyesha picha! Nimekuonyesha neno “super bridge”


Naona hutaki kukubali baada ya kukwambia hvyo..Please do your research kabla ya kujiabisha. All freeways are highways but not every highway is a freeway!
Ya kwenu si inakaa mallQuite basic Hakuna maajabu yoyote hapo, Hakuna uniqueness yoyote

kikihboy njoo huku wameanza kuteseka na picha tatu tuYaani nyie jamaa badala ya kutengeneza Stesheni za treni mumetengeza kumbi za harusi...yaan hzo stesheni zenu ndo kumbi za harusi na mikutano uku Bongo...Nyie Kenya mkoje...mnaenda tofauti kabisa na dunia ya sasa yaan juzi juzi tu jamaa kawachana kuwa Daladala (matatu) zenu uku Bongo tumeziweka kwnye makumbusho ya Taifa kuwa zilitumiwa na akina Nyerere.

Kwakweli sitapoteza muda wangu kwa kichwa boba kama wewe. Kwa Heri!Hehehe!!naona umeanza kuchanganya ma-file sasa..
Nimekwambia freeway na super higway ni neno ambalo linatumika kw barabara km hizo..
Sasa wewe km hutaki shauri yako..
Unajua maana ya super bridge kwanza, kw akili zako zako bridge ya design ni ya kwaida wala sio super sio![]()
Nenda kabisa, yani bridge design hyo iwe ya kawaida..Kwakweli sitapoteza muda wangu kwa kichwa boba kama wewe. Kwa Heri!
Mwaka huu tutapanda treni bro hata ikiwa December
InshallahMwaka huu tutapanda treni bro hata ikiwa December
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kipya kinyemiTerminal ya SGR ya Tanzania ni Nzuri kuliko Jomo Kenyatta Airport
2021 mtungi wa gongo loading....
gud newz...Naona wamerudisha tena assembling plant...wameona fursa View attachment 1677585