komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sio sio highway ya kawaida tena na hvyo ndivyo zinavyoitwaThika super high way
Sio sio highway ya kawaida tena na hvyo ndivyo zinavyoitwaThika super high way
First ni ya kenya[emoji23][emoji23][emoji23]Hata yetu pia ni ya kwnz EA hutaki au [emoji3][emoji3][emoji3]
Sio ya kawaida? 😂😂😂🤣🤣🤣 imejengewa Almasi? Au miujiza ilihusika kwenye ujenzi?Sio sio highway ya kawaida tena na hvyo ndivyo zinavyoitwa
Unateseka ukiwa wapi[emoji23][emoji23]Hii ndio floating bridge uhuru aliwadanganya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Umenielewa lkn bado unataka kuoindisha pindisha mambo tu[emoji23][emoji23][emoji23]Sio ya kawaida? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imejengewa Almasi? Au miujiza ilihusika kwenye ujenzi?
Hii ni nchi ya kijamaa mkuu. Uzalishaji ufanywe na watu wengi zaidi. Vinginevyo eneo kama hilo kwenye hiyo picha ukitaka lisiwe na vendors wengi patakuwa na ka-supermarket kamoja tu. Kisha hao mama ntilie, machinga na wauza maandazi wote wakaajiriwe hapo kwenye hako ka-supermarket! Hapo ndipo ubepari unapofeli.View attachment 1675800
I Love Dar, its my city lakini tumekuwa wachafu mno, we are killing this city, huwezi ukawa na vitu namba hii downtown. Its time we change and give pride with our cities. Haya mambo ya hovyo kwa lugha ya wanyonge should end. We need proper cities, smart cities.
Wewe hujui unachozungumzia. Eti seven star. Kuna hoteli yoyote ya 7-star duniani? Nitajie tu hata moja.Tusemeni ukweli hii terminal haina muonekano wa public structure at all kama mtu alishaingia Kilimanjaro kempisk hotel interior design yake ipo exactly kama hii terminal
Hii terminal unaweza sema ni 7 star hotel, ipo so luxurious and unique to the extent hata naogopa kuongelea how we gonna keep this beauty live long 😍😍😍😍
Pia nimeona ziwa kwa yenye ametuma😁😁Ss mbn mwenzio anaonesha mji wewe unaonesha mbuga [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unateseka ukiwa wapi[emoji23][emoji23]
Kuna watu wana smile wewe hko unaumia kumbe
Nimeishi Marekani miaka mingi sana na nikwambie tu kuwa nimeona highways nyingi bora kuliko hiyo Thika lakini hakuna hata moja iliyopewa jina linaloanza na “super” Hata miji yenye extensive highways and freeways kama Los Angeles Hamna jina la super highway. Ni ninyi wapumbavu mnaojifanya mko juu kwa vitu vya kawaida sana. Hata ile thread ya Likoni bridge aliyeifungua Alisema “super bridge” sasa mimi nashangaa wenye suspension/ cable-stayed bridges zenye urefu na gharama kubwa zaidi wanayaitaje madaraja yao?Umenielewa lkn bado unataka kuoindisha pindisha mambo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwyo hapo wewe unajifanya hujui highway za kawaida zipoje
Unateseka ukiwa wapi[emoji23][emoji23]
Kuna watu wana smile wewe hko unaumia kumbe
Wewe hujui unachozungumzia. Eti seven star. Kuna hoteli yoyote ya 7-star duniani? Nitajie tu hata moja.
Sema ilikua huna bando la kuangalia video[emoji23][emoji23]Jamani embu NEMC waende wakawapige Fine Wakenya kwa kuchafua mazingira ya bahari[emoji2957][emoji2957]...hilo daraja ni linaongeza water pollution[emoji16]...yaan hilo daraja ni uchafu linanikumbusha lelo daraja la TARZAN la kunesanesa
Sasa unaweza kulinganisha hilo kopo la uji hapo Dar na hizo hoteli ulizotaja?1. Burj Al Arab (United Arab Emirates)
2.Taj Falaknuma Palace (India)
3.Emirates Palace Hotel (United Arab Emirates)
4. Signiel Seoul (South Korea)
5. Pangu Hotel (China)
6. Seven Stars Galleria (Italy)
7. Laucala Private Island (Fiji)
Nani aliyesema ni super bridge, mbona unawatia wakandarasi maneno mdomoni mwao..Nimeishi Marekani miaka mingi sana na nikwambie tu kuwa nimeona highways nyingi bora kuliko hiyo Thika lakini hakuna hata moja iliyopewa jina linaloanza na “super” Hata miji yenye extensive highways and freeways kama Los Angeles Hamna jina la super highway. Ni ninyi wapumbavu mnaojifanya mko juu kwa vitu vya kawaida sana. Hata ile thread ya Likoni bridge aliyeifungua Alisema “super bridge” sasa mimi nashangaa wenye suspension/ cable-stayed bridges zenye urefu na gharama kubwa zaidi wanayaitaje madaraja yao?
Sema ilikua huna bando la kuangalia video[emoji23][emoji23]
Mbona mkuu una mawazo ya ki chato chato kihvo jamani[emoji23][emoji23]Tusemeni ukweli hii terminal haina muonekano wa public structure at all kama mtu alishaingia Kilimanjaro kempisk hotel interior design yake ipo exactly kama hii terminal
Hii terminal unaweza sema ni 7 star hotel, ipo so luxurious and unique to the extent hata naogopa kuongelea how we gonna keep this beauty live long [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wewe hujui unachozungumzia. Eti seven star. Kuna hoteli yoyote ya 7-star duniani? Nitajie tu hata moja.
Hivi wachina wameshakua maswahiba ghafla na wakati phase one mliwakataa[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] Ya Mwanza itakua balaa, mchina lazima anikomeshee mturuki