Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Nakuonyesha picha ya CCTV camera iliyopigwa leo na wewe na wazimu yako unasema kwamba hii ni picha ya 2018? Malazy wengine wanafikiria vipi?Mkimaliza kufunika handaki hilo njoo sasa tuongee. Sasa hivi utatuonesha vitu mlivyotuonesha 2018, miaka mitatu iliyopita.
View attachment 1677607

