Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

by 2010 ilikuwa ni ndoto kutaja dsm na nairobi sehemu moja,but you know what happen ina just 10yrs.

saa hii wacha tuhangaike na sgr train,brt phase zote,na marekebisho machache kama stand na huduma nyingine za kijamii.

hizo tower 3,ndio zinaifanya nairobi kuwa kama haifanyi kitu.
wanahangaika halafu cha kushangaza Kaka yao ametulia tu kwa sasa hana time yakujenga high rise building....

tunawait time yetu kama kawaida
 
Wazungu walipowaachia nchi miaka ya juzi juzi mkaharibu kila kitu uhuni wa kuongopa ongopa ili mjifurahishe, hv unadhani km Tz ingeamua tng zamani kuweka mambo yake hadharani km anavyofanya Magu unadhani mnaweza kuikaribia Tz?
Ni mambo gani hamkuweka wazi, na ni nani aliwakataza kuyaweka wazi?
 
wanahangaika halafu cha kushangaza Kaka yao ametulia tu kwa sasa hana time yakujenga high rise building....

tunawait time yetu kama kawaida
Hana time wapi mnagegemea serekali kujenga high rise..

Unafikiria ni nani atakubali kuingizwa mkenge aje ajenge high rise dar
 
wanahangaika halafu cha kushangaza Kaka yao ametulia tu kwa sasa hana time yakujenga high rise building....

tunawait time yetu kama kawaida
Time yenu ilipita like two years ago. Hiyo time mkijenga those three blue towers. That's the time you had your boom and it's gone
 
Is it not you who said Barabara huku ni Nairobi tu? Nikuletee zinging from northern Kenya?
kumbe ulikuwa unanishow some package mzee,,asante sana nashukuru sana.....

ila ukiambiwa kitu kuwa sehemu flani kuna nyumba haimaanishi kuwa sehemu nyingine hakuna nyumba,tofauti ni vitu kadhaa +u sehemu moja inaweza ikawa na nyumba nyingi kuliko sehemu nyingine za kijamii
 
Dodoma ya wapi ile ulioileta
Umepanic unaleta highway za kwenda mikoani...
Cheki vitu hvyoView attachment 1674761View attachment 1674762
.View attachment 1674780
Screenshot_20210111-172439__01.jpg
 
Mpo million 5 kwenye kaeneo ka 690 sqkm

The metro area population of Nairobi in 2020 was 4,735,000, a 3.93% increase from 2019. The metro area population of Nairobi in 2019 was 4,556,000, a 3.88% increase from 2018. The metro area population of Nairobi in 2018 was 4,386,000, a 3.88% increase from 2017.
What's all this about? Is populatuon in Dar not growing as well? You said that all Kenyans want to live in Nairobi. Does 4 or 5 million people represent 48 million people? Mombasa alone has over time million people. What do you say about that?
 
kumbe ulikuwa unanishow some package mzee,,asante sana nashukuru sana.....

ila ukiambiwa kitu kuwa sehemu flani kuna nyumba haimaanishi kuwa sehemu nyingine hakuna nyumba,tofauti ni vitu kadhaa +u sehemu moja inaweza ikawa na nyumba nyingi kuliko sehemu nyingine za kijamii
So unatarajia sehemu kama northern Kenya with its sparsely populated areas iwe na barabara nyingi kuliko mahitaji. Nafikiri barabara hujengwa kukidhi mahitaji ya watu
 
Wazungu walipowaachia nchi miaka ya juzi juzi mkaharibu kila kitu uhuni wa kuongopa ongopa ili mjifurahishe, hv unadhani km Tz ingeamua tng zamani kuweka mambo yake hadharani km anavyofanya Magu unadhani mnaweza kuikaribia Tz?
Nyinyi socialists mnaweza kweli kukimbizana na sisi capitalists? Ucheze na capitalists mzee baba.
 
Dah ila kenya kwenye high-rise bado sn, ona kulivyo kweupe aisee.
Hio ni upperhill pekee. Bado kuna CBD na pia kuna westlands. Nairobi tuna 3 business districts na zote zina skyscrappers. Sio kama Dar Slum ambapo mna mahali moja tu ambapo mumemwaga gorofa zote. Hio ni poor planning. Sisi tuna skyscrappers mahali pengi, sio pahala pamoja kama nyinyi
 
So unatarajia sehemu kama northern Kenya with its sparsely populated areas iwe na barabara nyingi kuliko mahitaji. Nafikiri barabara hujengwa kukidhi mahitaji ya watu
na nyie siku hizi huwa mnaangalia mahitaji...?. kumbe mmekua eeh

how about some of your sgr stations ex. Suswa station ,je imejengwa kulingana na mahitaji huko maporini....?
images.jpg
 
Back
Top Bottom