mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
GDP is onother scarm[emoji23][emoji23].Uliza Mwenyezi Mungu. Halafu kimya kimya ujiulize mbona kanchi kame na kadogo kama Kenya kanawatandika kwenye GDP.
GDP is onother scarm[emoji23][emoji23].Uliza Mwenyezi Mungu. Halafu kimya kimya ujiulize mbona kanchi kame na kadogo kama Kenya kanawatandika kwenye GDP.
Kwani hujui 3/4 ya Kenya is arid and semi arid land? 80% of Kenya is classified as arid and semi arid lands. Lakini bado mnasoma number yetu licha ya hayo yote. Imagine what would happen tukipewa hiyo nchi yenu that's not arid!!Mbona nchi yenu kame hivi?
Says a Tanzanian full of jealousy 😂 😂GDP is onother scarm[emoji23][emoji23].
Mombasa hyo[emoji1787][emoji1787]mmeanza excuse sasa[emoji38][emoji38][emoji38].
Ndio maana kila mtu wa huko dream yake ni Nairobi 🙂Kwani hujui 3/4 ya Kenya is arid and semi arid land? 80% of Kenya is classified as arid and semi arid lands. Lakini bado mnasoma number yetu licha ya hayo yote. Imagine what would happen tukipewa hiyo nchi yenu that's not arid!!
Tanzania ina invest kwenye vitu vya maana sana
Aisee ckuwa najua km Tz iliwapa elimu watu wazito hv [emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji122][emoji122]Sitting presidents who have once studied in Tanzania [emoji1241]
Ramaphosa [emoji1221]
Mnangagwa [emoji1269]
Geingob [emoji1176]
Nyusi [emoji1174]
Ndaishimiye [emoji1060]
Kagame [emoji1206]
Museven [emoji1254]
Kiir [emoji1223]
There are 48 million people in Kenya. There are four million people in Nairobi. Natumai jibu ushaipataNdio maana kila mtu wa huko dream yake ni Nairobi 🙂
Fence na jengo la serekali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dodoma [emoji1241][emoji1241]View attachment 1674692View attachment 1674693View attachment 1674694View attachment 1674695
The burden of proof lies with you Tanzanians. Aliyefungua huu uzi ni Mkenya au mtanzania?hiyo hata wewe huamini[emoji28][emoji28]vinginevyo usingehangaika kuprove kila siku kwenye huu uzi busy zaidi jamiiforums tokea ianzishwe.
DSM ya sasa iko kwenye race yake,hakuna mji wowote EA na kati unaoweza kuisumbua.
dodoma.Mombasa hyo[emoji1787][emoji1787]View attachment 1674698
Mombasa hyododoma [emoji1241][emoji1241]View attachment 1674692View attachment 1674693View attachment 1674694View attachment 1674695
Kila wilaya itapata Veta college, watoto wakimaliza standard seven ni kuchagua tu aende mechanics, technicals, electronics, secondary etcTanzania ina invest kwenye vitu vya maana sana
[emoji23][emoji23][emoji23]really!!!$100bln,na mnakopa mpaka budget ya nchi[emoji23][emoji23].Says a Tanzanian full of jealousy [emoji23] [emoji23]
Ndio maana ukiambiwa Tanzania Ina heshima yake Africa ni kweli, tuliteketeza pesa zetu na kusacrifice uchumi wetu kwa ajili ya wenzetu, tumeanza kupambana kujenga nchi yetu juzi juzi tu lakini pamoja na kuchelewa sana bado tupo njema.Aisee ckuwa najua km Tz iliwapa elimu watu wazito hv [emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji122][emoji122]
mtz aliyeamua kupasua pazia la hekalu[emoji38][emoji38].The burden of proof lies with you Tanzanians. Aliyefungua huu uzi ni Mkenya au mtanzania?
Dah ila kenya kwenye high-rise bado sn, ona kulivyo kweupe aisee.sevenup mpaka na picha waka edit hapo wakaiweka kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1674676
Mpo million 5 kwenye kaeneo ka 690 sqkmThere are 48 million people in Kenya. There are four million people in Nairobi. Natumai jibu ushaipata