Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpo million 5 kwenye kaeneo ka 690 sqkm

The metro area population of Nairobi in 2020 was 4,735,000, a 3.93% increase from 2019. The metro area population of Nairobi in 2019 was 4,556,000, a 3.88% increase from 2018. The metro area population of Nairobi in 2018 was 4,386,000, a 3.88% increase from 2017.
huyo aliishagoma kutumia akili,ratio ni kitendawili kwake.
 
Wewe nyumbu kila uonapo neno demolition unafikiri kuwa nyumba za masikini zimebomolewa na watalala nje usiku kwenye baridi. Hii nyumba iliyobomolewa hakuna mtu aliyekuwa akiishi ndani. Shamba lilinunuliwa tayari likiwa na jengo hilo ndogo. Mwenye shamba akapokea pesa yake na kuhama na vitu vyake. Sasa developer huyu mpya aliamua kubomoa nyumba hio na kuchimba foundation ya jengo la 44 floors. Natumai umeelewa sasa.
Shamba ndani ya Nairobi even in 2018??? Really???? Ndo mana huwa tunaiita Naipori
 
Mbna unatapa tapa
si tuko dodoma bado!!!!au umeanza kusikia uchungu mara hiiView attachment 1674750View attachment 1674751
Screenshot_20210111-170746__01.jpg
 
Kwani hujui 3/4 ya Kenya is arid and semi arid land? 80% of Kenya is classified as arid and semi arid lands. Lakini bado mnasoma number yetu licha ya hayo yote. Imagine what would happen tukipewa hiyo nchi yenu that's not arid!!
Wazungu walipowaachia nchi miaka ya juzi juzi mkaharibu kila kitu uhuni wa kuongopa ongopa ili mjifurahishe, hv unadhani km Tz ingeamua tng zamani kuweka mambo yake hadharani km anavyofanya Magu unadhani mnaweza kuikaribia Tz?
 
Mpo million 5 kwenye kaeneo ka 690 sqkm

The metro area population of Nairobi in 2020 was 4,735,000, a 3.93% increase from 2019. The metro area population of Nairobi in 2019 was 4,556,000, a 3.88% increase from 2018. The metro area population of Nairobi in 2018 was 4,386,000, a 3.88% increase from 2017.
Kenya ni ndogo kushinda hio 690 sqkm. Kenya ni around 580 sqkm. Lakini licha ya udogo wetu bado tunawapiga katika mambo mengi tu. TZ ni sqkm ngapi?
 
Back
Top Bottom