Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Makupa round about mombasa, notice the concrete.
Au hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]Still under construction calm your titties, alafu hiyo barabara umepost ipumzisheni bana.
Ndio maana maengineer wa kenya ni ucharaKuna friend wangu alifanya electrical engineering without doing physics in form 3&4. Don't ask me how cause I don't know how he managed to do it[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Uchafu again, kwnn nyie sio wasafi, ona Msamvu, Morogoro[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Without checking i can tell this road is within your main airport. True or falseBasi hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]View attachment 1673738
Once again let that building and road rest, its on every page.Au hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]View attachment 1673739
Electricity is more than circuit things, hiyo intro ya physics haitoshi ukilinganisha na advanced physics. how come anapokelewa bila kujua hata advanced electromagnetism.As far as I can remember in Kenya those circuit things are done in form two. So it's possible he had the foundation for it. But proper Secondary physics that starts from form three he didn't do. Trust me cause I'm a witness.
Alianzia certificates ndio akapanda hadi degree. So it's possible.
Kumbe watumishi tupo wengi, hahaaNimetoka Church. Leo ilikuwa zamu yangu ya kuhubiri.
Somo: IMANI
2Wakorintho 5:7
Leo watu wengi sana wameelewa kuhusu Imani wamenifuata na kuwafanyia maombi ya deliverance. Watu wengi wamefunguliwa.
Basi kama wakenya wataendelea kubisha nitawaletea somo zito la huduma 5 na karama 9. Ninauhakika baada ya hapo wataanza kujua masuala ya kiroho.
🙂 na kama alianzia certificates hajui pure mathematics, mwambie huyo shogako ni engineer uchwaraAlianzia certificates ndio akapanda hadi degree. So it's possible.
Mbele kidogo hapo anasema katika safari ya saa 4 kutoka Mombasa kwenda Nairobi hata lisaa halijaisha tayari kashaingia vichakani kwenye wanyama pori na nyumba za tembeUyu mzungu amenishtua kidogo...inama kunya kujenga mastation makubwa nirobari na msa train ya abiria ni moja tu kwa siku? Real[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nyie mnafaa kujitafakari sana alafu akuna hata biashar wala nini zinazo fanyika kwa izo stations zaid ya kuwekwa km makumbusho na masanam
Msikilize jamaa kuanzia dakik 2: 19View attachment 1673733View attachment 1673734
Kule kwetu mwanza, kulikuwa Poa,Makumbusho, Mwananyamala, Manzese ni sehemu za kuanza nazo. Huu ungese ulianza serikali ya Mwinyi, hawa ndio viongozi wasio na Vision waliowahi ongoza nchi. Hopeless
Umeona sasa ilivyokuwa mweupe kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]lMbele kidogo hapo anasema katika safari ya saa 4 kutoka Mombasa kwenda Nairobi hata lisaa halijaisha tayari kashaingia vichakani kwenye wanyama pori na nyumba za tembe
Statistics zikiwaambia wakenya Tanzania is the most urbanized country in the region wanalia.
Umeona sasa tangia wewe na mzungu wako mlivyokua wajinga[emoji1787][emoji1787]..Uyu mzungu amenishtua kidogo...inama kunya kujenga mastation makubwa nirobari na msa train ya abiria ni moja tu kwa siku? Real[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nyie mnafaa kujitafakari sana alafu akuna hata biashar wala nini zinazo fanyika kwa izo stations zaid ya kuwekwa km makumbusho na masanam
Msikilize jamaa kuanzia dakik 2: 19View attachment 1673733View attachment 1673734
kabisaNdio maana maengineer wa kenya ni uchara
Waliokuwa kwenye meli wote ni huyu tu ndio alijua engine zumezima?Yaani meli mpya inazima katikati ya bahari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameiita lunatic express jina lake la ubatizo [emoji3][emoji3][emoji3]
FactMbele kidogo hapo anasema katika safari ya saa 4 kutoka Mombasa kwenda Nairobi hata lisaa halijaisha tayari kashaingia vichakani kwenye wanyama pori na nyumba za tembe
Statistics zikiwaambia wakenya Tanzania is the most urbanized country in the region wanalia.
Umeona sasa kumbe kingereza tabu[emoji1787][emoji1787]si muulize kwanza km ilkua anaongelea nn wazee wa direct translationAmeiita lunatic express jina lake la ubatizo [emoji3][emoji3][emoji3]
Umesha anza kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] yani nyie niwajinga...sasa unamtukana bwana enuu[emoji1787][emoji1787] kisa kasema ukweli...hawezi ropoka tu ndio ratiba ushuzi yenuUmeona sasa tangia wewe na mzungu wako mlivyokua wajinga[emoji1787][emoji1787]..
Tatzio huna exposure