Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona sasa ilivyokuwa mweupe kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]l
Em toa maoni yako kuhusu viability ya hiyo train inayosafirisha behewa 4 za abiria tena hata hazijai kwa siku?

Kwanini wakenya hampendi kusafiri? Yaani sipati picture kama ingekua ni Tanzania, hiyo train ingepiga kazi mpaka ichakae

Kwa siku Ubungo inapokea busses zaidi ya 2000 kutoka mikoani na nchi jirani hapo bado train kutoka Kigoma inabeba abiria 1000, Sijaongelea train kutoka Arusha wala TAZARA wala airports wala private cars and the same population is discharged the next day off from Dar
 
Nani kakwambia hazijai..
Ingia katika website yao ujaribu ku book uone km zimebaki ngapi
 
Umesha anza kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] yani nyie niwajinga...sasa unamtukana bwana enuu[emoji1787][emoji1787] kisa kasema ukweli...hawezi ropoka tu ndio ratiba ushuzi yenu
Tatizo lugha[emoji1787][emoji1787]
Sema hukuelewa, sgr kenya nani aliliwa na simba
 
Nani kakwambia hazijai..
Ingia katika website yao ujaribu ku book uone km zimebaki ngapi
Sasa kwani si hiyo video inaonesha empty seats kibao tu, hata terminals zinaonekana tupu kabisa

Ninyi kubalini tu kusafiri sio culture yenu, mtanzania hawezi kukaa miezi mitatu bila kusafiri, subiri hiyo SGR ianze uone itakavyochangamkiwa
 
Nani kakwambia hazijai..
Ingia katika website yao ujaribu ku book uone km zimebaki ngapi
Nimesahau na boats kutoka Zanzibar, yaani watanzania kusafiri ni culture yetu na hii ni kwa kila mikoa, ndio maana kila mkoa na wilaya ina regional and district bus terminals

Ninyi hata Nairobi tu haina bus terminal
 
Nyumba za soldiers Tz, Kenyans show us yours [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums1138612608.jpg
JamiiForums1795612321.jpg
JamiiForums2077182200.jpg
JamiiForums592613590.jpg
JamiiForums-841349062.jpg
 
Em toa maoni yako kuhusu viability ya hiyo train inayosafirisha behewa 4 za abiria tena hata hazijai kwa siku?

Kwanini wakenya hampendi kusafiri? Yaani sipati picture kama ingekua ni Tanzania, hiyo train ingepiga kazi mpaka ichakae

Kwa siku Ubungo inapokea busses zaidi ya 2000 kutoka mikoani na nchi jirani hapo bado train kutoka Kigoma inabeba abiria 1000, Sijaongelea train kutoka Arusha wala TAZARA wala airports wala private cars and the same population is discharged the next day off from Dar
Hebu mwambie atazame hii video aanze kuhesabu mabasi mangapi yanatoka ubungo
Atuoneshe same thing from Kenya

Once again let that building and road rest, its on every page.
Ushaanza kupoteza hamu na huu uzi, I told you lazima utulie cz hamtakaa mje kuifikia Tz hata muongope na ma statistics uchwara but on ground never ever [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
battle ya Tz poverty kife Vs Kenya poverty life wameiogopa wamepita kimya kimya
 
Ushaanza kupoteza hamu na huu uzi, I told you lazima utulie cz hamtakaa mje kuifikia Tz hata muongope na ma statistics uchwara but on ground never ever [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Kisa umeambiwa usirudie picha ndo unalilia hivi, nimekuumiza sana🚮🚮
 
Nimesahau na boats kutoka Zanzibar, yaani watanzania kusafiri ni culture yetu na hii ni kwa kila mikoa, ndio maana kila mkoa na wilaya ina regional and district bus terminals

Ninyi hata Nairobi tu haina bus terminal
Kwhyo kenya hakuna mabasi sio[emoji1787][emoji1787]
Intercounties shuttles vipi..
 
Back
Top Bottom