Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii timu imepanda Daraja msimu uliopita, but they are better off than Gor Mahia
20210109_184841.jpg
 
Hapa kunatakiwa kujengwe high rises kama zile zinazojengwa na TBA magomeni,
yaani watu wawe compensated kujengwe apartments na sehemu za recreation pamoja na soko na Malls,
Ni sehemu ya Karibu kabisa na mji halafu pamekaa hovyo sana
Ni kweli kabisa hata pale makumbusho wapewe wawekezaji.
 
Fact ni kwamba nimesoma kushinda wengi wenu. Endelea kunichokora. Hata utagundua kwamba nimeishi Europe. Endelea kunipekua
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112] makofi. mengi ya kutosha kutoka kwa Mr.Tony wanjigu kwa kusoma kuliko wengi kati ya wote humu JF [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


kweli dunia haishi vituko
 
Back
Top Bottom