Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thika level 5 hospital
ETYWovwXYAAzVVt.jpg
 
Wakunya wengi humu nafahamu mitandao yao ya kijamii.

Tony254 au unabisha

Kuna mmoja huwa anaponda Dar humu halafu kwenye mtandao mmoja wa kijamii ameweka picha ya maghorofa ya Dar kama profile picture.
Usipost details zangu hapa wewe detective. Wewe unapenda upekuzi wa kishenzi sana. Wacha umbea mzee. Japo sio mbaya Geza Ulole akijua kwamba nina 14,000 followers kwa twitter.
 
Komora ni demu teargass pia ni demu, mbn wenyewe hawapingi unapinga ww tony?
Aliyekiri kwamba ni nurse ni Komora. Sasa wewe ni ushamba wako ukaanza kubatiza Teargass kwamba yeye pia ni nurse. Teargass hajawahi sema anafanya kazi gani.
 
Usipost details zangu hapa wewe detective. Wewe unapenda upekuzi wa kishenzi sana. Wacha umbea mzee. Japo sio mbaya Geza Ulole akijua kwamba nina 14,000 followers kwa twitter.
Sitopost details zako humu.

Mwaka jana kuna wale bloggers wenu kutoka kenya walikuwa wanatumika kueneza uwongo na propaganda kuhusu Tanzania...aisee computer zao nilizikomesha sana.

Nadhani ile ni moja ya computer virus kali kuwahi kutengenezwa hapa Tanzania inayofanya kazi ndani ya muda mfupi tu pale nitakapo kutumia
 
Yah ni incomplete cz Tz tumeanza kujenga nchi yetu within 10 yrs, miaka yote nyuma tulikuwa tunasaidia kukomboa nchi za wenzetu, so now tumewaacha wapambane wenyewe zen sisi tumeamua kujenga nchi na ndiyo maana unaona tunaongoza East and central Africa kwa ujenzi.
Sijakuambia uandike insha
 
Sitopost details zako humu.

Mwaka jana kuna wale bloggers wenu kutoka kenya walikuwa wanatumika kueneza uwongo na propaganda kuhusu Tanzania...aisee computer zao nilizikomesha sana.

Nadhani ile ni moja ya computer virus kali kuwahi kutengenezwa hapa Tanzania inayofanya kazi ndani ya muda mfupi tu pale nitakapo kutumia
Unawatisha mkuu
 
Back
Top Bottom