Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona sioni daktari mtanzania hapo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1672740View attachment 1672739
Wapo wengi tu, na hata ww unajua kwamba wapo wengi but nmeweka waajiriwa wa kizungu ili niwatishe mana mkenya akiona mzungu chupi zote zinamdondoka [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji2923][emoji2923]
 
Hakuna kitu mnapost hapo, mnarudia tu mapicha na kupost vibanda. Tukianza kupost picha kama hizo zenu si mtaanza kulia hapa[emoji23][emoji23][emoji23]. Kilifi.

Nimeona mmeishiwa, hampost kitu tunapost sisi tu nkaona tuhamie kwenye health au unasemaje, km vp tuendelee na markets, jibu hii zen tuendelee [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Kilifi[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116].
IMG_20210109_111118.jpeg
IMG_20210109_111116.jpeg
IMG_20210109_111120.jpeg
 
Mmepata adabu leo.Kazi yenu ni kupiga tu kelele wakati kwa ground mko zero kabisa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Ukiona maneno yamebadilika hv juwa sindano zimeanza kuwakolea, kwa wana psychology hayo ni maneno ya inferiority complex [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
wewe unataka nipewe ban humu ndani kuna vitu nikiandika wakenya woote hu-gang against me na kwenda kushurutisha mods kuniweka quarantine!

ndo IT expert wao ati!
Wakunya wengi humu nafahamu mitandao yao ya kijamii.

Tony254 au unabisha [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mmoja huwa anaponda Dar humu halafu kwenye mtandao mmoja wa kijamii ameweka picha ya maghorofa ya Dar kama profile picture.
 
Back
Top Bottom