Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza Complex U/C

hqdefault (9).jpg
hqdefault (10).jpg

Sio kwamba hatujawahi ona flyover bali pia ni 3level ya kwnz EA.
Sasa hili dude ambalo hata halijafikisha kilomita moja ndio mnapost kila siku. Hata hamuoni aibu jameni? Mnaonyesha dunia nzima jinsi gani nyie ni washamba. Kenya tuna flyovers hata kwenye miji midogo sio Nairobi tu. Nairobi yenyewe ina flyovers nyingi hata huwezi kuhesabu. Isitoshe tunajenga barabara ya juu kwa juu yaani expressway na bado haturingi. Hatuposti posts nyingi za kijinga za barabara moja kama hizo zenu.
 
Basi sawa. Tuoneshe sasa masoko yenu.
Masoko nilishaweka kule juu msijifanye hamjaziona[emoji23][emoji23][emoji23]. You started posting Tanzanian stalls juu mliona nikipost masoko za Kenya. Unfortunately mmejitomba[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
I'm laughing at you how you are struggling to find modern markets in Tanzania[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mm nipo forums nyingi humu beibe, so ninapopata muda wa kuingia jf huwa napitia quotes zote na nazijibu kwa kadri niwezavyo usidhani nipo tu humu.

Lkn pia mbn umewekewa markets nyingi wkt ww umeweka markets mbili tu umeanza kulia lia [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Watu wanaongelea barabara za 27km hao wanashangilia msalaba ya 200 metres[emoji23][emoji23][emoji1787]
Sasa hili dude ambalo hata halijafikisha kilomita moja ndio mnapost kila siku. Hata hamuoni aibu jameni? Mnaonyesha dunia nzima jinsi gani nyie ni washamba. Kenya tuna flyovers hata kwenye miji midogo sio Nairobi tu. Nairobi yenyewe ina flyovers nyingi hata huwezi kuhesabu. Isitoshe tunajenga barabara ya juu kwa juu yaani expressway na bado haturingi. Hatuposti posts nyingi za kijinga za barabara moja kama hizo zenu.
 
Sasa hili dude ambalo hata halijafikisha kilomita moja ndio mnapost kila siku. Hata hamuoni aibu jameni? Mnaonyesha dunia nzima jinsi gani nyie ni washamba. Kenya tuna flyovers hata kwenye miji midogo sio Nairobi tu. Nairobi yenyewe ina flyovers nyingi hata huwezi kuhesabu. Isitoshe tunajenga barabara ya juu kwa juu yaani expressway na bado haturingi. Hatuposti posts nyingi za kijinga za barabara moja kama hizo zenu.
Hakuna flyover hata moja Kenya, kuna ushuzi wa tofali km unabisha hebu post japo moja tu tuone [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Watu wanaongelea barabara za 27km hao wanashangilia msalaba ya 200 metres[emoji23][emoji23][emoji1787]
Kila siku lazima wapost hio ujinga hapa mpaka wanaboo. Yaani these guyz ni washamba sana. Hawajawahi kuona barabara ya flyover until hio ubungo ilipojengwa.
 
Back
Top Bottom