Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa watu hawana masoko. Hujaona venye wanastruggle kutafuta those markets?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Mchumba huwa nakuambia hii tabia yako ya kuona mzigo wote wa maumivu umebeba pekeako Kenya nzima utakuja kufa mapema, ww kubali tu zen muanze kujipanga [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86]
 
Hamna masoko Tanzania, what you have are shades[emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji204][emoji204]
 
Masoko nilishaweka kule juu msijifanye hamjaziona[emoji23][emoji23][emoji23]. You started posting Tanzanian stalls juu mliona nikipost masoko za Kenya. Unfortunately mmejitomba[emoji1787][emoji23][emoji23]
So hizo picha tatu ulizoweka za Nairobi ndio umemaliza!?
Tanzania tuna halmashauri zaidi ya 170 kila moja ipo na soko.
Twende County kwa county. Kama umeishiwa kaa kimya.
 
So hizo picha tatu ulizoweka za Nairobi ndio umemaliza!?
Tanzania tuna halmashauri zaidi ya 170 kila moja ipo na soko.
Twende County kwa county. Kama umeishiwa kaa kimya.
Weka hizo 170 markets here we want to see them. Kazi yako ni kurudia tu vitu vilishapostiwa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Ebu weka hizo soko 170[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Sijafuatilia sana hii thread. Wacha nirudi nyuma niziangalie
Umefuatilia sn tu wacha kumpa moyo, mambo yote yapo hadharani na hii co mara ya kwnz ku battle markets ila huyo ndg yako huwa hakubali kushindwa, huwa anaona km mzigo wote wa maumivu kabeba pekeake Kenya nzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kibada Modern Market u/c

unnamed (21).jpg
unnamed (22).jpg
unnamed (23).jpg
unnamed (24).jpg
unnamed (25).jpg
images - 2021-01-09T111059.991.jpeg
 
Majamaa wameanza kupost mapicha za soko after kuona nimepost za Kenya. Bahati mbaya wamepata kama mzigo umekuwa mzito kwao[emoji1787][emoji23][emoji23]
Sijafuatilia sana hii thread. Wacha nirudi nyuma niziangalie
 
Umefuatilia sn tu wacha kumpa moyo, mambo yote yapo hadharani na hii co mara ya kwnz ku battle markets ila huyo ndg yako huwa hakubali kushindwa, huwa anaona km mzigo wote wa maumivu kabeba pekeake Kenya nzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi sina muda mwingi wa kufuatilia uzi huu mrefu ambao hauna mwanzo wala mwisho. I have better things to do. Huwa naingia kwenye uzi huu dakika chache tu na kuondoka.
 
Back
Top Bottom