Wakenya mbn mpo kmy au hii Mwanza-Isaka bado hamuamini macho yenu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji90][emoji90] [emoji90][emoji90][emoji90]
Wakunya tuliposema tunahitaji nafasi yetu mlidhani tunatania? Tena ss nafasi tutakayokuwa sisi itakuwa ni aibu hata kulinganisha na nchi yoyote EA yn gap litakuwa kubwa mno.
Hebu fikiria electric sgr ikianza ku function alaf isitoshe mikopo ni michache na ya riba nafuu kwmb sehemu kubwa tumejenga wenyewe hamuoni kwamba pesa zitarudi in the near future?
Fikiria umeme tunazalisha wenyewe yn pesa double double zinaingia wkt huo huo deni ni himilivu, je kuna uwezekano wa kujilinganisha na sisi?
Huku sgr, kule meli zinapiga mzigo, pale brt, alafu madege km yote, viwanda bwelele, pia bila kusahau CNG plant is loading.........
Chuma bado hakijaanza kutema, pia kuna ule mradi wa helium unakuja kwa kasi ya light.
Tanzania itakuwa km ulaya soon, hahahahahahaaaaaa.