Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

miaka 8 ya kazi inayopigwa na sgr ya kutishia watoto wasiotaka kula,ni sawa na mwaka mmoja wa modern sgr ya tz,so bado hamjatangulia[emoji38][emoji38][emoji38]
Kilio cha mwaka[emoji1787][emoji1787]
Emu rudia tena huenda ukawakosha wenzio
 
Swali ni je zitakua 400km[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna swali mboga hilo, ila kw mnenguaji atarukaruka mpka mwaka uishe
Swali lako haliwezi kwenda na uhalisia mm nakujibu kulingana na uhalisia 300km ndio ziko kwenye tender na mwenye tender ni TRC sasa mengine siwezi jibu nje ya hapa🤣🤣👇👇👇
B33D3B6B-FFEB-4E2F-846D-A3E6184CD3FD.png
 
Mm nakujibu swali kwa mujibu wa mwenye tender ni km 300 zikijumlishwa njia za kupishania treni
View attachment 1671636
Kwhyo sgr route dar moro ni 300km[emoji1787][emoji1787]..
Asante sana..
Hata nimeshakuacha, nyie ni wale ikijengwa double track dar moro mtasema ni dar moro ni 400km..

Kilaza detected majamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeenda
 
Swali lako haliwezi kwenda na uhalisia mm nakujibu kulingana na uhalisia 300km ndio ziko kwenye tender na mwenye tender ni TRC sasa mengine siwezi jibu nje ya hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1671639
Double track dar moro ni 400km[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeshakuachia dunia
 
Kwhyo sgr route dar moro ni 300km[emoji1787][emoji1787]..
Asante sana..
Hata nimeshakuacha, nyie ni wale ikijengwa double track dar moro mtasema ni dar moro ni 400km..

Kilaza detected majamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeenda
Nimekwambia njia ya kwenda moro kwa mujibu wa mwenye tender pamoja na njia za kupishania ni 300km sio mm naesema 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 alielipa fedha ndio kasema
B492DC34-DF6B-4EAF-B663-3F8C4E6180E0.png
 
Double track dar moro ni 400km[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeshakuachia dunia
Hatujengi double track kwa njia yote double track itakua ni baadhi ya njia tu ndio inayoleta total of 300km 🤣🤣 sijui wapi unakwama
 
Back
Top Bottom