Nikiangalia hizo interchange ni aina ya kupiga hela tu na sio mahitaji yanayotakiwa.
Alaf kitu wanachojenga sasa ni vitu vya miaka 100 iliopita 🤣🤣🤣🤣🤣Nikiangalia hizo interchange ni aina ya kupiga hela tu na sio mahitaji yanayotakiwa.
Mm hua nazungumza na ushahidi sio porojo 👇👇👇👇
So hilo gorofa moja ndio kielelezo cha kua nn???🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba ukiwa na gorofa moja refu basi umeendelea au???Bado Sana,hii inachapwa hadi na Eldoret
View attachment 1671533
Ila Magu jeuri, yn mchina imebd amfate kwake kabisa na wala hana haja ya kukutana na mchina Dar, as long as amekuja kuomba kazi basi aende kijijini.Dege lilivyotua Geita Chato
Maendeleo ya Tanzania ni everywhere, wengine ukitoka capital city huko kwengine kote ni majalalani
View attachment 1671423View attachment 1671424View attachment 1671425View attachment 1671426
Thanks for admitting kwmb it's a wide road [emoji112][emoji112]This is one of the low quality wide roads in East Africa if I'm not wrong.
Chuo kizuri kuliko vyote ukanda huu na nchi nyingi za kiafrika.Leo nitakuwa nawaletea live Kutoka chuo cha Kibaha cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere
Una lilia nini🤣Eld iko na towers nanii,mwanza bado SanaSo hilo gorofa moja ndio kielelezo cha kua nn???🤣🤣🤣🤣🤣 kwamba ukiwa na gorofa moja refu basi umeendelea au???
watakifungua?Again Mwalimu Nyerere Leadership School
View attachment 1671575View attachment 1671576View attachment 1671577View attachment 1671581View attachment 1671591