Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa naona unaumia sana. Hebu hizo zaidi ya kumi naomba uzitaje.
Never compare Tanzania with Kenya[emoji23][emoji23]. Here are vehicles assembled in Kenya.
1. Renault trucks
2. Peugeot
3. Volkswagen
4. Scania trucks and buses
5. Isuzu
6. Toyota
7. Mahindra
8. Banbrose buses
9. UD trucks
10. Mercedes Benz trucks and buses
11. Fuso trucks

Niendelee ama niache?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hivyo mnapeleka rubani wenu Ethiopia kufanya nini? Kukula mandazi?

Halafu naomba ufahamu kuwa kila model ya ndege ina simulator yake. Ndege aina ya Boeing 737 ina simulator yake ambayo ni tofauti na simulator ya Boeing 747 ambayo nayo ni tofauti na simulator ya Boeing 787. Halafu airbus nayo ina simulators zake ambazo ni tofauti na za Boeing. Yaani rubani wa Boeing 737 hawezi kuendesha Boeing 747 au 787. Nyie mna bombadier, mna Boeing 787 na kadhalika. Lazima muwe na simulators tofauti tofauti za kila model na kama hamna itabidi muwapeleke Ethiopia. Simulator moja ya model fulani haiwezi kutumika kwa mafunzo ya model tofauti. Swali langu ni je mna simulator za kila model ya ndege mnayomiliki?
Mbona unapiga kelele sana. Nimekuambia simulator tunayo na nimekupatia proof. What is your problem!?
Kwikwikwikwi inakuuma sana.
 
Sasa umeorodhesha makes. Tuambie majina ya viwanda view navyo assemble.
Never ever trust Kenyans in anything kwikwikwi. Lazima wapige longo longo.
 
Wewe una IQ ndogo ndio maana unashindwa kuelewa. Simulator ya model fulani ya ndege haiwezi kutumiwa kutrain rubani wa model tofauti. Hio simulator mliyoagiza tayari imewasili nchini humo? Halafu hio simulator ni ya ndege type gani?
 
Sasa mbona unataka kulia. Tatizo lako ni nini sasa!?
Unataka kujua model ya ndege au unatakujua kuwa tupo na simulator!?
Kwikwikwikwi naona unachanganyikiwa sasa.
 
Maskini akipata matako hulia mbwata
Hahaha!!siwezi poteza mda wangu kw mtu ambae yupo sana kishabiki shabiki[emoji1787][emoji1787]
Kishabiki au co kwmb huoni gap tunalowapiga au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Sasa umeorodhesha makes. Tuambie majina ya viwanda view navyo assemble.
Never ever trust Kenyans in anything kwikwikwi. Lazima wapige longo longo.
Tutasonga tu pole pole, hii ni Renault[emoji23][emoji23][emoji116]

This is Mercedes assembly plant[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Scania[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Banbros[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Isuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Toyota[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Volkswagen[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Peugeot[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Mahindra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Yani wewe akili zinakutosha wewe tu. Ninakuuliza unipatie jina la kiwanda aghalau kimoja unaletwa warsha za kukata keki.

Leta jina la kampuni
 
Pwahahaha wakenya bhana.
images - 2021-01-02T200336.580.jpeg
images - 2021-01-02T200322.652.jpeg
 
Yani wewe akili zinakutosha wewe tu. Ninakuuliza unipatie jina la kiwanda aghalau kimoja unaletwa warsha za kukata keki.

Leta jina la kampuni
Jina ndio hizi hapa. Unadhani Kenya inacheza ligi hapa Africa Mashariki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

1. Kenya Vehicle Manufacturers
2.General Motors East Africa
3.Honda Motorcycle Kenya Ltd
4.Associated Vehicle Assemblers Ltd
5.TVS Motors Kenya
6. DT Dobie for Volkswagen
7.Associated Motors (AM)
8. Transafrica Motors Ltd-Mombasa
 
Kwa hivyo mnapeleka rubani wenu Ethiopia kufanya nini? Kukula mandazi?

Halafu naomba ufahamu kuwa kila model ya ndege ina simulator yake. Ndege aina ya Boeing 737 ina simulator yake ambayo ni tofauti na simulator ya Boeing 747 ambayo nayo ni tofauti na simulator ya Boeing 787. Halafu airbus nayo ina simulators zake ambazo ni tofauti na za Boeing. Yaani rubani wa Boeing 737 hawezi kuendesha Boeing 747 au 787. Nyie mna bombadier, mna Boeing 787 na kadhalika. Lazima muwe na simulators tofauti tofauti za kila model na kama hamna itabidi muwapeleke Ethiopia. Simulator moja ya model fulani haiwezi kutumika kwa mafunzo ya model tofauti. Swali langu ni je mna simulator za kila model ya ndege mnayomiliki?
Machine inakuwa moja ila hzo types za model ni mambo ya softwares nadhani.
 
Utalipiaje toll katila mradi wa serekali[emoji1787][emoji1787]
Wakati mwingine huwa nakupuuza tu, km project imejengwa na pension fund what do you expect kwmb hyo pesa inarudi vp? Ulisoma shule gn ww [emoji116][emoji116]
JamiiForums1758565824.jpg
 
So kwann unanililia mm badala ya kulia na mchina mwenye project yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi tutajenga mujenge pesa munayo??? Au musubiri kujengewa alaf mukamuliwe kende[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Tumefungua mwaka hvi

Hivi kama ndio hesabu zinafungwa na nchi zioneshe total net worth waliyonayo wakenya sijui mtaonesha madeni (liability) kuwa mnadaiwa na huku mchina,huku USA na UK.halafu TZ hatudawi.
 
Jina ndio hizi hapa. Unadhani Kenya inacheza ligi hapa Africa Mashariki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

1. Kenya Vehicle Manufacturers
2.General Motors East Africa
3.Honda Motorcycle Kenya Ltd
4.Associated Vehicle Assemblers Ltd
5.TVS Motors Kenya
6. DT Dobie for Volkswagen
7.Associated Motors (AM)
8. Transafrica Motors Ltd-Mombasa
Kila nchi wapo na dealers wa kuuza magari ya makampuni makubwa.

Hii hapa ni CAMARTEC Tanzania hebu tuoneshe vitu kama hivi toka Kenya.
images - 2021-01-02T202050.210.jpeg
FB_IMG_1609608209186.jpg
FB_IMG_1609608189352.jpg
 
Back
Top Bottom