Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha mm mwenyewe nmesoma Economics A level (nilichukua EGM) nikasoma Economics chuo km somo tu, ila huyu Economics zake huwa zinanishangaza sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kila kitu kwao ni batili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Government school in ruvuma
76ACAB20-CC88-4475-A436-2301FCA0B2C3.jpeg
5FF867EE-B46A-4BFE-9C35-680C20069603.jpeg
 
Nioneshe truck moja ya scania inayokua assembled kenya ukipata tag me plz[emoji1787][emoji1787] naona kichaa kimekupanda
Ndio hizi trucks mpya mpya direct from assembly plant in Mombasa road[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20210102_204618_961.JPG
IMG_20210102_204632_682.JPG
Epcnee7VQAAOLQB.jpeg
 
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hawa watu mbn wanakuja kwa speed ya light huku kwetu, wameambiwa hakuna covid basi wanataka kuhamia huku huku, kuna jamaa yangu ni game kule anasema wapo wengi mno na wamegoma kuondoka [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndio hizi trucks mpya mpya direct from assembly plant in Mombasa road[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1665898View attachment 1665899View attachment 1665901
Ww siku ukipata assembly plant ya scania kenya mm nafunga acc🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Kwamba sio ku assemble bali mnaunda gari, wallahi ww una lana ww sio bure [emoji3][emoji3][emoji3]
Mobius is manufactured in Kenya. Tanzanians have started 2021 by not believing that Kenya is ahead of them in everything [emoji23][emoji23][emoji1787]. The vehicles are now being used by our police service.


FB_IMG_15627722029328650-506x420.jpeg
 
Leo mtu anatudanganya mchana kweupe kua kenya kuna plant ya scania mamaeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu jamaa ni kituko

scania iko africa nzima ila sio assemble plant

 
Kishabiki au co kwmb huoni gap tunalowapiga au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Gap la gani hilo wakati mnafanya vitu ambavyo baba yenu alifanya enzi zile
Kisha mnakuja kujiona matajiri[emoji1787][emoji1787]

Mwengine analeta estates za jwtz wakati kenya tangia kitambo sana watoto wa wanajeshi wanaishi kw estates na babazao nyie mnaona karne hii
 
Eti scania wana assemble kenya mamaee humu kuna vituko sijapata kuona 🤣🤣🤣

na siku atapatikana mtu akapost assemble plant ya scania humu mm nafunga acc jamii forum
 
Yani leo unatudanganya kua kenya ina assemble scania trucks [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukipata sehemu scania wana assembly plant kenya mm nafunga acc jamii forum narudia tena
View attachment 1665907
Sasa anapingana na watu wa Scania?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1665920
IMG_20210102_204632_682.JPG
 
Back
Top Bottom