Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
New year,new vocabulary ..keep it up learnin'..Happy new year Warthog.
New year,new vocabulary ..keep it up learnin'..Happy new year Warthog.
Hivi unadhani haimuumizi?Baadaye utakuja kugundua kwamba inakuumiza ww kichwa, 1800ksh si haba mchina atavuna bhn[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
I repeat again, 1700 sio kitu kwa transporters.1700 sio kitu!!![emoji38][emoji38][emoji38].
tusubiri iishe kwanza,ndio tutajua nani mjinga humu.
Unaongea kwa uchungu kabisa 🤣🤣🤣🤣I repeat again, 1700 sio kitu kwa transporters.
sawa bana wee.pale utashuhudia mko na malori njia ya chini ndio utajua hujui[emoji28][emoji28][emoji28]I repeat again, 1700 sio kitu kwa transporters.
Why can't you defend your post? Were you not the person who said that everybody using expressway will pay 1700?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]. Alafu mbona sioni hile 600 huwa umekazana nayo hapa?[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Unaongea kwa uchungu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo fireworks huku bongo serikali ilikataza,hadi kibali maalumu toka serikalini kwa sababu za usalamaGeza wapi majengo yenu yanayotupa fireworks namna hii? Nairobi huwezi kuilinganisha na Dar. Dar mpo nyuma. Nyie ligi yenu Mombasa
View attachment 1664561View attachment 1664562View attachment 1664563
Geza Ulole
sawa bana wee.pale utashuhudia mko na malori njia ya chini ndio utajua hujui[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo wanalipa au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Wenye watatoa hiyo 1700 are transporters of which that 1700 sio kitu kwao[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Most Kenyans that own vehicles will be paying 300 bob. Please forgive me for exposing you[emoji23][emoji1787][emoji23]
Sasa kuku hadi anunuliwe mjini,mbona masoko mengi sana!!Hamna Mtanzania anayenunua kuku sokoni Mjini Dar na kuisafirisha nyumbani ili kuikula wakati wa siku kuu? Au nyinyi huwa hamkuli kuku? Ndio maana narudia tena, Mtanzania akinunua kuku ili asherehekee siku kuu atakatazwa kupanda basi la BRT?
Viashiria vya utajiri wa nchi ni unafuu wa maisha, nenda kote duniani ktk developed countries huwezi kuta raia wanalalamika bus fare ni kwasababu ya unafuu wa maisha na cost are affordable, nyie km mnauwezo mbn mnalalamika ss [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Ya, nauli ya watu maskini kwenye nchi maskini[emoji1787][emoji23][emoji23]
Mbona unaongea kiunyonge sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]. Why can't you just type with the energy you were using to type when you thought that every motorists will pay 1700[emoji1787][emoji23][emoji23]Kwahiyo wanalipa au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Duh!! 1700ksh for only 27km. Hii Kali mno.Mbona unaongea kiunyonge sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]. Why can't you just type with the energy you were using to type when you thought that every motorists will pay 1700[emoji1787][emoji23][emoji23]
Fares za Kenya are always higher than those of Tanzania and nobody has ever complained[emoji23][emoji1787][emoji23]. People only complain when motorists start exploiting people by tripling the fares of a certain place.Viashiria vya utajiri wa nchi ni unafuu wa maisha, nenda kote duniani ktk developed countries huwezi kuta raia wanalalamika bus fare ni kwasababu ya unafuu wa maisha na cost are affordable, nyie km mnauwezo mbn mnalalamika ss [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Only 27 km, and yet it will be under chinese for the next 27 yrs yn kila km moja wataishikilia kwa mwaka mmoja, yn kwa tafsiri rahisi ni kwamba mtu anakujengea road ya km moja zen anaishikilia kwa mwaka mmoja akichukua ushuru toka kwa raia na bado mwisho wa contract atatangaza loss ili serikali yenu ifanye compensation, hakiya mama mm nisingeweza kuvumilia kuitwa Mkunya kwa usenge huo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Wapi wale wenye wivu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1665365View attachment 1665366View attachment 1665368View attachment 1665370
English ulisomea wapi vilee, you repeat again au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86]I repeat again, 1700 sio kitu kwa transporters.