Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa si unaona vile unajichanganya? Kama unajua kwamba hizo mashirika zinafaa kutoa statements zao Lila mwaka, why are you saying that ATCL is an exemption? That sio lazima itoe statements zake? Wewe unapenda tu ubishi za kijinga
Nimekuambia system ya mashirika ya umma kutoa Financial statements zao ni kupitia bungeni, sio lazima waweke kwenye mitandao kama zinavyofanya Private companies owned by May shareholders

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wamsikilize huyo demu kuanzia min 5.29 wasikie jinsi amesifia uzuri wa roads za Tz, wanadhani tuliamka tukazikuta zimeota, guys mpambane na nyie msifiwe yn mtu atoke Kenya lkn beautiful roads and other moment kaziona Tz
Na specifically kasifia road marks and furnitures, kasema Kenya hawana standard roads kama za Tanzania 😅😅😅 Soma comments uone wakenya wanavyomsapoti
 
You reason like a hawker Wewe ushaiona any YouTuber akiongea vibaya in a country that is not his/hers?
Kwamba akisifia Tz ndo anapata subscribers wengi, so now u admit that internet penetration Tz ni kubwa kuliko Kenya
 
what purpose of renders then??? ndo mana likoni bridge mlijengewa daraja za kwenye mito (rivers)
Rendering is just a process of generating photorealistic on non-photorealistic images using 2D or 3D models using a computer program. A constructer can make minor or major changes from the renders and deliver a finished building that doesn't look exactly like the one in the tender and this has happened many times. Stop limiting your mind that much
 
Komora mpenzi kutengeneza kitu kipya from scratch inachukua muda halafu ni vyombo ambavyo vinabeba maisha ya watu kwa hiyo umakini na ubora lazima uzingatiwe ndio maana ndege na trains zimechukua muda. Sisi vitu vyetu ni brand new siyo kama vyenu vya kutoka museum za muchina na midege used.
Acha wenge wewe, kwhyo unataka kusema wamesahau jinsi ya kuunda train zao ambazo wanazalisha kisa tanzania wame oder ndio waanze kuumia vichwa
 
Have you ever heard of somebody called Auditor General? That's the office that has the mandate of inspecting all the financial books in government institutions. The auditor general is independent and always performs his/her job without political interference unlike your CAG who always give his verdict under political influence. The last time CAG gave independent verdict your President sacked him juu anaogopa ukweli . In that report, he exposed a lot of corruption going on in your country that is always covered by Magufuli regime
Ninyi hamna akili ndio sababu nchi yenu inafanya vibaya katika kila sector, hizo Financial statement wanazozitoa nani aliyezithibitisha kabla hawajazitoa?, mwenye jukumu la kuzithibitisha ni CAG baada ya kutoa ripoti yake bungeni.

Tofauti ya utendaji wa hizi nchi mbili ndio zinazotifautisha ni nchi gani pesa za serikali zinaibiwa, na ni nchi gani miradi ya serikali inakua ghali kuliko kawaida.

Kenya ni wazi kwamba "Government system is not working ", ndio sababu kila eneo ni 'scandals' za wizi wa pesa za serikali. Jambo la kushangaza ni kwamba bado wakenya wanadhani wanayofanya ni sahihi na huku ambako tumedhibiti wizi na matumizi mabaya ya pesa za umma, wanatuona tunakosea. Wakenya lazima mjifunze toka nchi zinazofanikiwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambia system ya mashirika ya umma kutoa Financial statements zao ni kupitia bungeni, sio lazima waweke kwenye mitandao kama zinavyofanya Private companies owned by May shareholders

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ATCL ilitoa hiyo taarifa lini bungeni na kupitia hiyo taafifa, watanzania walijulishwa imetengeneza faida kiasi gani?
 
Have you ever heard of somebody called Auditor General? That's the office that has the mandate of inspecting all the financial books in government institutions. The auditor general is independent and always performs his/her job without political interference unlike CAG who always give his verdict under political influence. The last time CAG gave independent verdict your President sacked him juu anaogopa ukweli . In that report, he exposed a lot of corruption going on in your country that is always covered by Magufuli regime
Also remind him that our Auditor General is not appointed by the president. He gets approval from a vetting committee which only forwards the name of the qualified person to the president to make his appointment official. The president does not play any role in his appointment and can't dismiss him as well. Otherwise, the former Auditor General Edward Ouko angefukuzwa kazi kitambo sana cause he unearthed many corruption scandals in the government. Ours is not a flower girl
 
Have you ever heard of somebody called Auditor General? That's the office that has the mandate of inspecting all the financial books in government institutions. The auditor general is independent and always performs his/her job without political interference unlike CAG who always give his verdict under political influence. The last time CAG gave independent verdict your President sacked him juu anaogopa ukweli . In that report, he exposed a lot of corruption going on in your country that is always covered by Magufuli regime
You must be stupid, what is the difference between Auditor General and CAG?, you Kenyans know nothing about general affairs. Tanzania has been ranked as number one in All Africa for better uses of government money, while Kenya is at the bottom, why can't you copy what Tanzania is doing?,

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
You must be stupid, what is the difference between Auditor General and CAG?, you Kenyans know nothing about general affairs. Tanzania has been ranked as number one in All Africa for better uses of government money, while Kenya is at the bottom, why can't you copy what Tanzania is doing?,

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Who said there is a difference? See how confused you are
 
You reason like a hawker Wewe ushaiona any YouTuber akiongea vibaya in a country that is not his/hers?
To make you a fool ? Just go to that very girl youtube channel and watch how she finalize , she was not bias at all , the issue of pot hole in kenya and mozambique she discuss all of that
 
Back
Top Bottom