Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali zikiwekeza sana kwenye miradi kama hii maji umeme na miundombinu ya barabara tunaweza kuchomoka kwenye uchumi wa kati wa chini kwenda ule wajuu mapema tu...hapo maisha yatakua yameboreshwa sana na life expectancy itaongezeka
Wewe huwa muungwana sana. Nakubaliana na kauli yako Boss.
 
Umeona hio render na hio real pic zilivo kama mbingu na ardhi 🤣🤣🤣 na ww unashangilia pia
Hii ni hospitali kubwa na itasaidia sana. Sasa wewe mtu wa render nenda kalilie chooni kwamba hazifanani.
 
Uganda airline imeanzishwa juzi na tayari iko na more international routes kuliko ATLC (Any Time Cancellation Limited)
Tanzania is the smartest country in the region, we always spend much time during planning before we go to the field.

Uganda doesn't have domestic routes, all they depend are International routes, ATCL 60% depends on domestic routes. For ATCL, domestic routes are shock absorbers of International routes, that's why ATCL has better business prosperity than any other Airline in the region.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
joto la jiwe wewe ndio uliniambia kuwa ugatuzi haujasaidia Kenya kwa njia yoyote ile. Ona hospitali iliyojengwa na gatuzi la kakamega

View attachment 1664575View attachment 1664576
Nakuru County referral Hospital. Our county governments are doing things that can only be done by grants and donations in Tanzania

IMG_20210101_112404.jpeg
IMG_20210101_112407.jpeg
IMG_20210101_112413.jpeg
IMG_20210101_112410.jpeg
 
Tanzania is the smartest country in the region, we always spend much time during planning before we go to the field.

Uganda doesn't have domestic routes, all they depend are International routes, ATCL 60% depends on domestic routes. For ATCL, domestic routes are shock absorbers of International routes, that's why ATCL has better business prosperity than any other Airline in the region.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Leta financial statement ya ATCL.
 
Which prosperity are you talking about? Why can't you then go back to South Africa? I heard that you were suppose to start London routes in 2020, what happened? What happened to the China route that ATCL was to do in 2020?
Tanzania is the smartest country in the region, we always spend much time during planning before we go to the field.

Uganda doesn't have domestic routes, all they depend are International routes, ATCL 60% depends on domestic routes. For ATCL, domestic routes are shock absorbers of International routes, that's why ATCL has better business prosperity than any other Airline in the region.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Bro ww akili iko sawa kweli mbona unanitisha tony 🤣🤣🤣🤣
View attachment 1664587View attachment 1664586
Shida yako ni kuwa hospitali kubwa yenye vifaa ijengwe kusaidia umma au hospitali ifanane na render? Hata nyinyi huwa mnabadilisha design. Waziri wenu juzi alikuwa Dodoma akiangalia ujenzi wa hoteli na alikuwa analalamika kuwa design imebadilishwa
 
Back
Top Bottom