Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Ubishi wakijinga sipendi, bado haijaisha.Look render and real pic alaf tel me sasa 🤣🤣🤣🤣 yani ni mbingu na ardhi
Ubishi wakijinga sipendi, bado haijaisha.Look render and real pic alaf tel me sasa 🤣🤣🤣🤣 yani ni mbingu na ardhi
Nilikuwa sijaonaLook render and real pic alaf tel me sasayani ni mbingu na ardhi




Kakamega hospitalView attachment 1664565View attachment 1664566
Yani ww ulifaa ubaki 2020..kama fire work ndio inadetermine development aiseee kweli ww ni kizuuuGeza wapi majengo yenu yanayotupa fireworks namna hii? Nairobi huwezi kuilinganisha na Dar. Dar mpo nyuma. Nyie ligi yenu Mombasa
View attachment 1664561View attachment 1664562View attachment 1664563
Geza Ulole
Though picha ya jengo imegeuka mbele nyuma ila kwanini hako ka-ghorofa ka mbele/nyuma katikati ni kafupi?Bro ww akili iko sawa kweli mbona unanitisha tony 🤣🤣🤣🤣
View attachment 1664587View attachment 1664586



ATCL bado investment inaendelea bado kuna ndege nyingi zinakuja mzee subirini kidogo tu
Hawa jamaa wanachanganyikiwa muda si mrefu shirika lao lina miaka zaidi ya 40. ATCL bado haijafikisha hata 5 yearsATCL bado investment inaendelea bado kuna ndege nyingi zinakuja mzee subirini kidogo tu
Lakini cha ajabu hushangai tanzania kujenga modern electric railway by half of price kenya used to build ???🤣 au hii maneno niweke pembeniIf you think that $60m will get you both passengers rolling stocks plus double stack wagons then I'm sorry for you![]()
Tupatie ya KQ pwahahahahaSo kama investment inaendelea hamtengenezi financial statements? Sijaona mtu mjinga kama wewe![]()
Ww unataka za nn na bado ushaambiwa investment inaendelea?? Tumeagiza ndege zingine 7 wacha zije kwanza zianze kazi alaf ulizia alaf ufananishe na hio airline miak 30 inamiliki ndege tatu na loss zinazotisha africaSo kama investment inaendelea hamtengenezi financial statements? Sijaona mtu mjinga kama wewe![]()
Akupe wapi wakat juzi imetengeza loss 14.1b ksh nusu mwaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tupatie ya KQ pwahahahaha
Hahaha. Leo ndio mara ya kwanza kuona ichoboy akihisi wivu nzito iliyokoleza. Duh pole kwa maumivu. Ndio, tunakunya icecream. Tuonyeshe fireworks za DarAlaf inasaidia nn ikishafanya hvo ??? Hvi mbona washamba nyinyi sasa kufanya hvo ndio nn kwamba nyie bora munakunya ice cream😅😅😅 yani munaskitisha kweli
Acha wajihangaishe wakat kuna ndege 7 jumla zimeagizwa moja inawasili keshokutwa hapa 🤣🤣🤣Hawa jamaa wanachanganyikiwa muda si mrefu shirika lao lina miaka zaidi ya 40. ATCL bado haijafikisha hata 5 years
Ona hii nyani yn imesahau km huu mwaka umeathiriwa na nn, haijui km airline industry umeathiriwa na nn mwaka wote wa 2020.Which prosperity are you talking about?Why can't you then go back to South Africa? I heard that you were suppose to start London routes in 2020, what happened? What happened to the China route that ATCL was to do in 2020?
![]()
Hapana ni ujinga sasa ww unashangilia fataki inasaidia nn wakat munazidi kuumia na inflation 🤣🤣 yani mambo ya msingi hamunayo kichwani kabisaHahaha. Leo ndio mara ya kwanza kuona ichoboy akihisi wivu nzito iliyokoleza. Duh pole kwa maumivu. Ndio, tunakunya icecream. Tuonyeshe fireworks za Dar
As long as ACTL inafanya biashara basi lazima iwe na financial statement. Tupe hio financial statement.Ww unataka za nn na bado ushaambiwa investment inaendelea?? Tumeagiza ndege zingine 7 wacha zije kwanza zianze kazi alaf ulizia alaf ufananishe na hio airline miak 30 inamiliki ndege tatu na loss zinazotisha africa
Hakuna kitu ambacho hakina msaada, hata mavi ambayo hatupendi hata kuyaona baada ya kukuja, bado yanatumika kuzalisha mbolea na gesi, ila kwa Kenya Ugatuzi unasababisha hasara zaidi kuliko faida.joto la jiwe wewe ndio uliniambia kuwa ugatuzi haujasaidia Kenya kwa njia yoyote ile. Ona hospitali iliyojengwa na gatuzi la kakamega
View attachment 1664575View attachment 1664576
Tukuoneshe fireworks zinasaidia nn ??? Au zinawapa chakula kibera hvi tony umekuaje ww🤣🤣🤣🤣Hahaha. Leo ndio mara ya kwanza kuona ichoboy akihisi wivu nzito iliyokoleza. Duh pole kwa maumivu. Ndio, tunakunya icecream. Tuonyeshe fireworks za Dar