Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaaaaaa, tony aliniuliza kuhusu kusafiri na mifugo pamoja na magunia ya viazi kwenye mabasi yetu akanishangaza sn, kumbe kwao ni kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hivyo Watanzania wenye gunia wanakatazwa kupanda basi za BRT?
 
Hahahaha, eti double stack wagon ndio mumeona ni kitu cha maana Sana, tumeagiza kama 25 double stack wagons.

Hivi kuwa na double stack mnahisi ni kitu cha maana Sana?. Sisi train yetu inabeba tani 10,000 kwa train moja, itakua na urefu wa 2Km. Ninyi train lenu hilo lina uwezo wa kubeba tani 4000 kwa train moja na lina urefu wa 1km tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Reasoning styles za namna hii ndio huwa hawaamini kwamba una div4 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Reasoning styles za namna hii ndio huwa hawaamini kwamba una div4 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Your SGR will not have double stacked wagons.[emoji23][emoji23]
2523688_1600524409215.jpeg
 
Reasoning styles za namna hii ndio huwa hawaamini kwamba una div4 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtu wa Div 4 hata hajui mapua yake iko upande gani ya mwili ndio ataweza kufanya analysis iliyonyooka namna hio? Analysis ya namna hio inafanywa na watu walio na akili nyepesi sio watu wenye akili nzito kama ugali. Huyo jamaa sio wa Div 4
 
Kwenye malls huwa tumewapiga Watanzania kama mbwa koko. Hata hao wanajua. Hata tuliwacha kupost malls maana wao wana malls tatu tu
Wacha malls, vitu vingi sana tunawachapa. Hawa watoto wadogo sana kwetu. Nikiingia beast mode naeza jaza uzi.
 
Back
Top Bottom