Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Happy new year with nairobi expressway.
Screenshot_20201231-235538.png
Screenshot_20201231-235412.png
 
Nyie mna interchange kama hio? Tuanzie hapo kwanza. Kabla ya kutuita failed state tuonyeshe picha moja ya clover leaf interchange hapo Tanzania.
Siku ukinionesha three level from failed state mm nafunga acc
 


Mr kadogosa has said, Mr kadogosa said...
Yani kasema kutoka mwanzo wa hadi mwisho..
Sijaona oder wala, idadi na make..
Rudi kivingine tena achana na link za watu ambaowao wenyewe wamefanya kunukuu kutoka kw wazee wa majukwaani..
 
mwaka huu piga hua.. Tanzania inazindua treni ya umeme

wakenya hata mloge vip mwaka huu tunapanda treni ya umeme

happy new year everyone!
Hiyo train ya umeme mlianza kuimba venye mtaipanda November 2019, tushafika 2021 bado mnasubiri kuipanda tu
 
Back
Top Bottom