The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huyu tony sina tatizo naye cz ni mtanzania aliyezaliwa Kenya kwa bahati mby [emoji3][emoji3]Usimtukane bana, wajuwa Tony254 anakuogopa sana?
Huyu tony sina tatizo naye cz ni mtanzania aliyezaliwa Kenya kwa bahati mby [emoji3][emoji3]Usimtukane bana, wajuwa Tony254 anakuogopa sana?
Ngojeeni tungi la chang'aa lenu linakuja toka South Korea.Are they going to establish the train museum?
😆😁😀
Ndiyo huyo huyo atakayefanya muuwane 2022, wait April bullet ifike choko choko zianze ndani ya Kunyaland.Asante sana kw kulituma dume la africa nzima[emoji1787][emoji1787]
Huyo ananguruma na vyuma viwili juu hku akiwa speed ya 80kph
Kwamba reli yenu ni quality kushinda hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1664265
Kwamba lipite njia hii auuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ngojeeni tungi la chang'aa lenu linakuja toka South Korea.
Wewe ndio the ruddest Mtanzania kwa hii forum. Watanzania wengine ni wastaarabu lakini wewe una ukenya ukenya ndani yako.Hahahaha nimesoma through the best 007
Pembeni kdg pako hv [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Athi River kama sijakosea.View attachment 1664270View attachment 1664272
Hahahaha!!waache wajipumbaze kwanza kw sasa..Ngojeeni tungi la chang'aa lenu linakuja toka South Korea.
Hahahahahaaaaa nimeisave hii, mana nimecheka kwa sauti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ndio the ruddest Mtanzania kwa hii forum. Watanzania wengine ni wastaarabu lakini wewe una ukenya ukenya ndani yako.
Mumeweka oder wapi hzo bullet[emoji1787][emoji1787][emoji1787]You'll never see it anywhere in the bloc except, in Tanzania.
Hapa ilibd niwa mention watu ila tony aliniambia ataondoka jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ndio the ruddest Mtanzania kwa hii forum. Watanzania wengine ni wastaarabu lakini wewe una ukenya ukenya ndani yako.
Tumesha toa $60mil kwa Korail.Mumeweka oder wapi hzo bullet[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona oder za ndege wakulu wanapost twitter mpka hela na kampuni..
Train leo ndio msipost, hela hamna mturuki ameshachoka
Ukijibu nilicho kuuliza na mimi nitakujibu.Huyo Mtanzania kupewa kazi hio imeleta faida gani hapo Lazyland?
Niliwaambia waniwekee evidence kwamba bullet train ya ITX ndio inakuja wakanyamaza. Maana hata wao hawajui ni train gani inakuja. Tungi la chang'aa ndilo litashushwa kwenye bandari.Mumeweka oder wapi hzo bullet[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona oder za ndege wakulu wanapost twitter mpka hela na kampuni..
Train leo ndio msipost, hela hamna mturuki ameshachoka
Mlitoa lini, kw train ngapi na muundo gani..Tumesha toa $60mil kwa Korail.
Tena tatizo zaidi dume lao la mizigo halitabena double stack[emoji1787][emoji1787]Niliwaambia waniwekee evidence kwamba bullet train ya ITX ndio inakuja wakanyamaza. Maana hata wao hawajui ni train gani inakuja. Tungi la chang'aa ndilo litashushwa kwenye bandari.