Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Huyo Mtanzania kupewa kazi hio imeleta faida gani hapo Lazyland?Sizitaki mbichi hizi!
Kuiga bendera imeleta faida gani ya maana hapo failed state?
Huyo Mtanzania kupewa kazi hio imeleta faida gani hapo Lazyland?Sizitaki mbichi hizi!
Kuiga bendera imeleta faida gani ya maana hapo failed state?
@Teargass hyo train ipo kibwezi inapeleka empty containers nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwmb empty containers [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Na hatuwezi kuwa nayo, we unatuonaje kwnz sisi? Sisi tunajipenda na tunapenda vitu vzr nyie mnapenda sifa lkn hampendi vitu vzr pia ni wachafu sana nyie.Hawajui km hapo hamna cha urembo, ni kazi kazi wala hamna lingine..
Tanzania hakuna train km hyo
Hahahaha you got heaps of shit instead of taxis at your main airportPwahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1664258
Sio eti hampendi, quality ya reli yenu ndio hairuhusu double stack[emoji1787][emoji1787]Na hatuwezi kuwa nayo, we unatuonaje kwnz sisi? Sisi tunajipenda na tunapenda vitu vzr nyie mnapenda sifa lkn hampendi vitu vzr pia ni wachafu sana nyie.
Kuna shida kubwa mno. Mnatuaibisha waafrica. This is the era of Science and Technology you are buying the colonial era train aka stone age train.
Pwahahahahahaha
Umenimention vipi kama umeniblock? Umesoma message yangu vipi kama umeniblock? Nyie watu wa Lazyland mnashangaza sana.Me mwenyewe hapa nilipo nimekublock
Stone age inayobeba double stack[emoji1787][emoji1787]Kuna shida kubwa mno. Mnatuaibisha waafrica. This is the era of Science and Technology you are buying the colonial era train aka stone age train.
Pwahahahahahaha
Kwamba reli yenu ni quality kushinda hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio eti hampendi, quality ya reli yenu ndio hairuhusu double stack[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha nimesoma through the best 007Umenimention vipi kama umeniblock? Umesoma message yangu vipi kama umeniblock? Nyie watu wa Lazyland mnashangaza sana.
Unaumwa wewe..Duuu, bro what's ksh 20mio. It's a peanut for a well paid musician like Kiba.
HahahahahaaaaaHahahaha nimesoma through the best 007
Vipi utavunja simu kwa kukalia tu? Dah.Hapana hii ni nyingine, vitu vingi vipo mule ila nategemea kuitengeneza cz ni kioo tu ndo nilivunja kwa kukalia, ikipona ile nitahamisha vitu vyote humu ili twende sawa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwamba hyo unataka kusema inaweza mzuia dume la double stack..Kwamba reli yenu ni quality kushinda hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1664265
Mm ndo nilivyo mkuu huwa niko careless na simu kabisa huwa naziua mara kwa mara.Vipi utavunja simu kwa kukalia tu? Dah.
Unajaribu kui polish SGR to no where ila ngoma inagoma [emoji3][emoji3][emoji3]Kwamba hyo unataka kusema inaweza mzuia dume la double stack..
Naona umeshachanganyikiwa tayari
Airport ambayo inapokea abiria wengi kushinda airport zenu zote?
Asante sana kw kulituma dume la africa nzima[emoji1787][emoji1787]Unajaribu kui polish SGR to no where ila ngoma inagoma [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1664269