Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
gave a summary of all what is kenya!Nilidhani ungepinga angalau kipengele kimoja kwenye hio listi.
gave a summary of all what is kenya!Nilidhani ungepinga angalau kipengele kimoja kwenye hio listi.
Boss somo la hisabati ulipata D au E?Standard Chartered itatoa $1.46B out of $3.2B toka Dar hadi Dodoma, nani amelipa hiyo $2.74B?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wivu wivu wivu, hii hapa ni phase1 fully funded by GoT, btw c ni ww uliyesema GoT ndiyo inafanya miradi yote pasipo kuachia private sector?Ni mara ngapi hapa mmetuambia kwamba sgr yenu inajengwa na pesa za serikali kwa asilimia mia moja na kwamba hakuna pesa Kutoka nje hata senti? Tuambiane tu ukweli jamani

Hizo corruprion na tribalism pia zimeathiri Kenya negatively ila kama nilivyosema sisi tuna positive things nyingi za kujivunia kama nchi.gave a summary of all what is kenya!
Tukisema private sector tunamaanisha local private sector. Sio kampuni ya Uturuki. Halafu serikali yenu haina uwezo wa kujenga hio SGR. Hata serikali yetu haina huo uwezo. Ndio maana yetu tukampa Mchina nanyi mkampa Mturuki. Sasa Mchina sisi hatumhesabu kama private sector ya Kenya. La hasha, yeye anakuja na vifaa vyake anajenga na kuenda zake. Sawia na Mturuki ambaye anakuja na vifaa vyake anajenga na kuenda zake. Kwa hivyo Mturuki Yapi Merkezi sio private sector ya Tanzania. Huyo ni contractor tu aliyepewa kazi ajenge akishamaliza afunganye virago na kuenda zake. Private sector ya Tanzania ni makampuni ambayo yapo hapo long-term kama Azam na Mohamed industries. Hizi ni kampuni za private sector ya Tanzania. Kampuni za private sector ya Kenya ni pamoja na KCB bank, Equity bank na Safaricom. Lakini kampuni ya Uchina ya CRBC iliyotujengea SGR sio miongoni mwa kampuni za private sector ya Kenya.Wivu wivu wivu, hii hapa ni phase1 fully funded by GoT, btw c ni ww uliyesema GoT ndiyo inafanya miradi yote pasipo kuachia private sector?View attachment 1663412
Go n sleep man u convince no one!Hizo corruprion na tribalism pia zimeathiri Kenya negatively ila kama nilivyosema sisi tuna positive things nyingi za kujivunia kama nchi.
Hiyo serikali yenu imewachia Mturuki maana haina uwezo wa kujenga reli hio.Wivu wivu wivu, hii hapa ni phase1 fully funded by GoT, btw c ni ww uliyesema GoT ndiyo inafanya miradi yote pasipo kuachia private sector?View attachment 1663412
SijuiView attachment 1663419
Tony254 embu elezea hii sanamu ya zheng He inafanya nini kwenye station ya Mombasa.
Kwa nini wakenya msitumie "aggressiveness" yenyu kuhoji sababu za kuwekewa sanamu hii?Sijui
Kwani hio sanamu imeuwa nani ama imeibia nani?Kwa nini wakenya msitumie "aggressiveness" yenyu kuhoji sababu za kuwekewa sanamu hii?
mchina anataka pesa zake
bila shaka hapo ikifanywa survey haukosi chatu



Hahahaha kwa mujibu wa akili za Yosef Festo? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙂we ulisomea kwa dirisha the word urbanization is a noun on itself. What you were talking about was urban population growth . ... now google urban population growth meaning you will know the diffrence
usipende kupoteza mda na kutumia nguvu kubwa kwa kuforce mambo ambayo kila kitu kipo waziNi mara ngapi hapa mmetuambia kwamba sgr yenu inajengwa na pesa za serikali kwa asilimia mia moja na kwamba hakuna pesa Kutoka nje hata senti? Tuambiane tu ukweli jamani




Ni yeye typically na hizi ndio mada zake pendwa "Tanzania ni masikini" hana akili zaidi ya kuongelea hilo kwa hiyo kumkamata akiwa na I'd nyingine ni kama kumdaka kuku mwenye mdondo 😅😅😅
huu ni ujinga wa. hali ya juu....View attachment 1663419
Tony254 embu elezea hii sanamu ya zheng He inafanya nini kwenye station ya Mombasa.
kwanin msingemuweka hayati baba yenu wa taifa....?Kwani hio sanamu imeuwa nani ama imeibia nani?