Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We liberated Mozambique form Portuguese, from Renamo and now from Jihadists, during those liberation time,Kenya was in one bed with whites sucking dushelele of whites

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
You haven’t stepped outside your southern border,real armies are fighting jihadists all over the global but not your army.
 
hili suala la umeme msiangaike nao.. kama endpoint ni kufika mwanza afu wao wapo dodoma kwa spidi ya 70km/h afu sisi tupo Morogoro kwa spidi ya 150km/h.. tutawaacha tu na dunia na wao wenyewe wataadmit Tanzania electrification ni kubwa kuliko nchi yoyote EA! (japo saiz wanakataa ila tushawazidi tayar)

  • Bwawa la 2115 MW U/C
  • Bado vijiji 2000 tu kati ya vijiji 12000 kupatiwa umeme
  • Kuna bwawa kule mpakan na rwanda linamalizika
  • Kuna bwawa jingine, AfDB limeapprove tayar hela ya ujenzi

kwa hivi vyote, lazima Dunia iadmit Tanzania kuna umeme kila mahali na umeme mwingi in EAC
Sio kwamba sisi tunakataa. La hasha. World Bank wenyewe wamesema kuwa Kenya iko mbele ya Tanzania.
 
Bahari iko mdomoni kwao 🤣🤣👇👇 ndio hawa wanshindana na mwanza

hili suala la umeme msiangaike nao.. kama endpoint ni kufika mwanza afu wao wapo dodoma kwa spidi ya 70km/h afu sisi tupo Morogoro kwa spidi ya 150km/h.. tutawaacha tu na dunia na wao wenyewe wataadmit Tanzania electrification ni kubwa kuliko nchi yoyote EA! (japo saiz wanakataa ila tushawazidi tayar)

  • Bwawa la 2115 MW U/C
  • Bado vijiji 2000 tu kati ya vijiji 12000 kupatiwa umeme
  • Kuna bwawa kule mpakan na rwanda linamalizika
  • Kuna bwawa jingine, AfDB limeapprove tayar hela ya ujenzi

kwa hivi vyote, lazima Dunia iadmit Tanzania kuna umeme kila mahali na umeme mwingi in EAC
Mambo ya umeme tulishamalizana nayo kitambo kuwa electricity connectivity in Tz is 30%.

12572740_screenshot247_png917600ab8427a3787c148b21cf9263da.jpeg
 
Sio kwamba sisi tunakataa. La hasha. World Bank wenyewe wamesema kuwa Kenya iko mbele ya Tanzania.
Kwani hujui hawa watu? Ni lini washakubali data ya World Bank, especially when Kenya is mentioned ahead of them? The only time they did, and this was not a comparison, was when they were elevated to middle income country status. Any other data from WB is not true except that one. Very funny people
 
Wewe msingida ni muungwana na mtu fair. Unapongeza Kenya mahali ambapo tunastahili kupongezwa. Lakini naogopa ukishatangamana na ndugu zako hapa watakufunza tabia mbaya. Utawacha kupongeza Kenya kabisa hata mahali ambapo inastahili kupongezwa
The truth shall set you free,he has seen the light,the rest are in self denial!
 
Back
Top Bottom